RAMSA NYUMBANI KWA MASOOD PICADILLY !!!

ANKAL MASOOD PICADILLY AFANYA RAMSA NYUMBANI KWAKE, KUSHEREKEA SHUGHULI YA ARUSI YA MTOTO WA DADA MPENZI MARIAM TWAHIR, HAPA AKITUKARIBISHA WAPENZI WAKE NYUMBANI KWAKE, THEME ILIKUWA NI KULA NA KURUSHA ROHO NA KINANDA MAHIRI TOKA ZANZIBAR, HAPANA CHEZEYAA WENYE MJI WAO SHUGHULI PAMBEEEE, NAKUAMINIA MASOOD UKO JUUUU!!, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI
DECOR...!!

KINANDA TOKA ZANZIBAR KIKITUPA RAHA...!!
 HALIMA KAMUSI YEYE UGUSWA SANA NA OLD IS GOLD
 ASYIA KHASIM AKITAMBA NA MNYAMA..!!
 UMEONA EEEH, ILIKUWA RAHA!!

 MASOOD & MARIAM TWAHIR...!!
 SAIDA KANYAU, SHAMSA HASSANOL WAKIRUSHA ROHO!!
 BAHIYA LUMELEZI AKIRUSHA ROHO...!!!
 UNAMTUNZA UMPENDAYE RUKSA...!!
 ASYIA KHASIM AKIIMBA
 ALITUNZAJWE!!
  MASOOD AKITAMBA....!!
 ILE REQUEST "UKINISUSIA WEWE....!! 
NYUSO
SAIDA & DAWOOD
 HALIMA & KHADIJA
 RAJAB & FREINDS
HALIMA & HERRY
 HAFSA, JOHA & ASYIA
 KHADIJA, HERRY, ALLY REMTULA & MASOOD
 HIDAYA KAZIRAHABI
 BAHIYA LUMELEZI
SHAMSA HASSANOL
 SAIDA & SHAMSA
 KHADIJA NA MARIAM TWAHIR, MAMA MWENYE SHUGHULI


 MARIAM TWAHIR
 SHUMU

 HAFSA & MASOOD
 KHADIJA & HERRY
HAFSA & RAJAB
  HELLEN, MWANAIDI & JOHA
 MARIAM BEST, BAHIYA, FAUZIA, FAIZA & SHUMU
BI HAFUA
MAUNDA, MARIAM MKWECHE & MARIAM
 FAUZIA & ISABELLA

 ANKAL YAHYA & FRIEND
 SALAMA KINGUI
 FAIDA, ASYIA & ALLY
  KHADIJA, MARIAM & FRIEND
 HANIA & FRIEND


 SHUKURU & MAMA LINDA
 RAJAB & MASOOD
 FAIZA MAFISH
CHAKULA
KAMA KAWAIDA UKIINGIA KWA MASOOD, NI KULA KUNYWA NA KUCHEZA, MENU YA UKWEE'E
SALAD

 DESERTRED CARPET
MASOOD & MWANAIDI
 YAHAYA CATERER
SWAGA 
 HAPANA CHEZEA, UNABADILI MADINI KILOS KAMA NGUO...!!! HAWAKUWEZI WEWE NDIO WEWE NA UTABAKI KUWA WEWE MIAKA 100 WAKUACHEPost a Comment

1 Comments

  1. Saida hawakiwezi wasishindane na alojaaliwa, Mungu akinisuru na husda na macho ya wanadam, akuweke mbali na kila mwene husda na ww........nakupendajeeeeeee

    ReplyDelete