JACKLINE\SHEILLA KITCHEN PARTY

VENUE:: BARODA
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO
COLOUR:: KENTE COLOURS
DESIGNER:: DORIS MIKOCHENI

JACQUELINE\SHEILLA AKIINGIA UKUMBINI
JACQULINE\SHEILLA AKIINGIA UKUMBINI, PAHANA CHEZEA TOTO LA KIKURYA AMEPANDAJE JUU NA ANAVYOTAMBA FULL MACONFIDENCE, MANJONJO KIBAO WAKATI ANAINGIA ZAMA NDANI KUONA

MC WA EVENT

DECOR..!!
 ZAWADI
JACQULINE\SHEILLA
 PENDEZA KWA SANA!!
JACK NA  WAPAMBEWAKE
 SWAGA ZA SHEILLA
MFICHUE MWARI
CAKE
MC AKITIA MANJONJO YAKE KUFUNGUA CHAMPGNIE
CHEERS!!!
CHEZA
JACK ALICHEZAJEE!!!
USINICHAFUE SITAKI...!!
KWAITO YA JACK
WATU WALIDUARIKA KWA SANA
ZAWADI
JACQ AKISUBIRI KUPEWA ZAWADI ZAKE
MAMA AKIKABIDHI JIKO LA GAS NA MTUNGI FULL
SHANGAZI ZAKE JACK WAKIKABIDHI KITANDA
AUNTY YAKE JACQ AKIKAMPA ZAWADI YAKE, SET YA MABUSATI
SHOSTITO SALMA AKIENDA MTUNZA JACQ

SOMO NA PAMBE YAKE WAKITUNZA
SOMO MKUBWA AKIKABIDHI ZAWADI ZAKE
UMEONA MAMBO YA KUFIKIZA KHANGA
SOMO AKITUNZA
JACQ BAADA YA KUTUNZWA DOLLAR NA SOMA MDOGO
JACQUELINE AKIWAKOSHA MAMA ZAKE NA DOLA
JACQULINE AKIWATUNZA MAMA ZAKE KHANGA NA VITENGE
MASHOSTITO WA KARIAKOO WAKIMTUNZA SHOSTI
WANAKAMTI WAKIENDA KABIDHI YA ZAWADI
MAMA YAKE JACK AMBAYE PIA NI M\KITI AKIKABIDHI ZAWADI YA SOFA NA COFFEETABLE


NYUSO
RITA, PENDEZA EEH!!
MAMA MLEZI WA JACK\SHEILLA
SOMO YAKE JACQUELINE\SHEILLA 


RED CARPET
SWAGA


Post a Comment

4 Comments

 1. CONGRATS TO THE BRIDE SHE BRIDE IS BEAUTIFUL I MEAN EVEN THOUGH THE DRESS WASN'T A WOW FACTOR...SHE LOOK SIMPLY BEAUTIFUL...WOMEN WHO DIDN'T HAVE MAKEUP THEY JUST LOOK PRETTY AND CONFIDENT....THOSE WHO HAD MAKEUP MAY I SAY YAK!!PLEASE LOOK AT YOUSELF BEFORE GOING OUT..

  ReplyDelete
  Replies
  1. umeona eeehh, make up mpaka wanatisha.

   Delete
  2. hivi hiyo style ya kuachia miziwa njee huko tz mbona inachukuliwa vibaya?!! maana hao wa ulaya wenzao wanayatoa mpaka unaona raha kuyaangalia lkn wao wanayabana utafikiri yamepitiwa na roli la mkaa!! midodo njee halafu ikabanwe km kiazi kilichobanikwa ukiulizwa kisa? na nao wako kwenye fashion!

   Delete
 2. JAMANI SHEREHE IMEPENDEZA SANA SARE IMEWAKAA HASA MPAKA RAHA!. NILIKUWA NAOMBA UNIULIZIE RITHA HICHO KICHWA CHAKE AMENUNUA WAPI, NAMBA NA DIRECTION ZA FUNDI WAKE.

  ReplyDelete