SHILLA & MBARAKA WEDDING RECEPTION!

VENUE:: HELLENIC
ENTERTAINMENT:: NJENJE BAND & CHICHI DJ’S
DECORATION:: HENJEWELE
COLOUR:: BLACK N WHITE
CATERER:: FANINA +255 784 222 426/715 222 426

 RECEPTION YA SHILA NA MBARAK, ILIKUWA PAMBE HAPANA CHEZEYAA, SI KINYWAJI, DECOR, & CHAKULA, COLOUR OF THE WEDDING BLACK N WHITE ILIVALIWA IPASAVYO , WATU WALICHEZA MPAKA MWISHO, MANENO MENGI SINA ZAMA NDANI......!!!

UMEONA KIDOLE!!!
MR & MRS MBARAKA PENDEZA EEH!!
MC CHENI NDIYE ALIYEENDESHA SHUGHULI, SI UNAJUA ZAKE YEYE NI KUCHEZA KWA SANA, NA ZILE OLD ID GOLD UTANYANYUKA TU!!!
DECOR...
KWA MAHITAJI YA MAHEMA KAMA HAYA PIGA SIMU FASO COMPANY +255 715 270 562
HUYU NI FANINA CATERER, HIYO NI MENU YA CHAKULA!!
MAARUSI WALIINGIA KWA STYLE YAO HAWAKUINGIA PAMOJA, WALIINGIZWA NA WAPAMBE WAO..!!
SHILLA AKIMPOKEA MUME WAKE
NDUGU NA JAMAA VIGELEGELE!!!
CAKE
NDAFU
CHAMPGNIE
FANINA CATERER 
 CHAKULA KILIKUWA KITAMU SALAD AINA ZAIDI YA TANO, HAPANA CHEZEA FAIDA MKUREGENZI WA FANINA CATERER MAWASILIANO.: +784 222 426/715 222 426
BURUDANI
NJENJE HAO, TULIENJOY SANA!!!!!
WAZIRI
MERRY & KHADIJA
L: REHEMA MWAKA MAMA YAKE MBARAK
MR & MRS, HAPANA CHEZEA
MAMA KASITA AKICHEZA NA WANAWE!!
NYOTA ALIWAIMBIA MAARUSI TUPENDANE TAZAMA KIDEO HIKI


KIJOTI JOTI SHTUAAAA!!! WAPI HIYO!!
HAPPY BAGHDELA SOMO UKO JUUU!!
DOGO AKIWAIMBIA MAARUSI
 MAMA AKIMTUNZA MWANAYE

WANAKAMATI WAKITOA ZAWADI
MWENYEKITI AKIKABIDHI ZAWADI YAO SHUGHULI HII KUANZIA MWANZO NI MAMBO YA ANKARA TU , SOMA HAPO
WAKICHEZA KWA FURAHA LAO LIMEKAMILIKA!!! TENA HASWA KWA MAPANA NA MAREFU
NYUSO
VISURA!!!
JESSICA & MAMA PENDO, BUSINESS WOMEN
MWANAISHA MASSANGA & FRIEND
ROSE & HUBBY, PENDEZA EEH!!
ANGEL MLAY & VISURA
WATU WA MUSCAT 
KATI: MRS. SELINA KOKA, MKE WA MBUNGE! BIG RESPECT SHOST, AKIWA NA AZAMA NDAMA SOMO YAKE SHILLA ALL THE WAY FROM TANGA & 
MAYA & FRIEND
IDRISSA NA MKEWE!!
SHARRIFA KAVU, HAPPY & HUBBY
AMINA PLUMMER & HER FRIEND
MAMA KOKA & RUKIA
LILLY KESSY
AMINA DESIGN, SIKU ZOTE PENDEZA SAAANA!!
HAPPY & SELINA KOKA
ALHANISA & ZAKIA MHAVILLE
BAHIYA LUMELZI NA WATU WA MUSCAT
SHARRIFA KAVU & JAMILA MC MKONGWE WA UKWEE'E
HAPPY KAMA JINA LAKO VILE, YOU ARE HAPPY ALWAYS!!
MIREY, MUKE YA NDAMA MUTOTO WA NGOMBE, HAPANA CHEZEA!!
HADIJA & FRIEND!!
JACK, WITH PINK DRESS MY PHOTOGENIC!!
ALHANISA & FATMA MAHSEN!!
REHEMA & HER COUSIN
MAMA KASSITA, "TEACHER"
MAMA KIJACHO PENDEZA
JOHA KABOTOKA & FRIEND
BLACK CARPET
BIBI ZAKIA

HANIPHER KESSY
LATIFAH & HAPPY
SWAGA
MICHAEL KORS!!!
MC CHENI MADINI KILOS!!!!
KITU CHA ROSE, HAPANA CHEZAYAAAAA!!!!


Post a Comment

7 Comments

 1. mmmmmmhhh kwakweli mlipendeza sana,bi harusi uko juu mamito,milipendeza sana na hata wageni walikua poa sana,shila mungu akupe raha ndani ya ndoa ya ndoa yako my dear,amina pia ulipendeza sana,getu pia kama bi harusi si mchezo,shogaaaaa yangu mm wa ukweeeeeee jesiiiiiiica ulipendeza acha mchezo,hio ndio inatakiwa wafanya biashara tupo juuuuuuuuu kuliko mwezi.

  ReplyDelete
 2. Nimeipenda sanaa hyo party gr8t colour n venue wa2 wamependeza bt kilchonkera ni hiyo style ya kuning'iniza clutch kama 20 year old clutch kwnye evening gown inatakiwa ishikwe mkononi n cio kuning'nizwa dats ol..

  ReplyDelete
 3. Harusi nzuri ila hao waliovaa nyeupe kny harusi ya mwenzao wameniudhi!

  ReplyDelete
 4. Hongereni maharusi, muwe pamoja kama kumbi kumbi, hongera pia muke ya muzungu wa ukwee, nimekupenda bure maana uko tofauti na wake wengine za wazungu wanawaacha waume zao majumbani wanaenda kwenye shughuli na wanaume wengine sijui maanayake ni nini?

  Kingine jamani wanawake mmpendeza sana, ila kasoro kitu kimoja, makeup bado sana na pia mnaharibu nguo nzuri na vitambi vyenu hivyo. Ama sivyo muwe mnaangalia GOK shows anaonyesha aina ya nguo kulingana na umbo lako. Otherwise mkiona lazima mvae nguo za aina ya kuonyesha matumbo yenu, basi kunyweni maji ya moto au uvuguvugu two weeks before event angalau mupunguze hayo mafuta tumboni lol!

  ReplyDelete
 5. CHEZEA WATU WA MASCUT WEWE HAHAHAHAHAHAHAAHAH WAPI RED WOMAN HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA

  MUNGU AWAFUNGULIE MIBARAKA WANANDOA , BIG UP YOUUUUUUUUUUUUUU!

  ReplyDelete
 6. Harusi nzuri,watu wamependeza sana,vyakula nimatamanisha ila wanakamati hiyo check ni ya kweli au changa la macho.maana imeandikwa pay CASH instead pay mr@mrs baraka.

  ReplyDelete
 7. siku hizi picha hazionekani au ni computer yangu jamani

  ReplyDelete