SINGO YA BAOME - MAGOMENI!!!!

HAPANA CHEZEYA WATOTO WA MAGOMENI WAFANYA WAKITAKA LAO UWA, TIMA AMFANYIA SINGO WIFIYE YA KUKATA NA SHOKA, NANA KANYAU AMLETA BI MWANAHAWA ALLY WA MELODY KUJA KUMUIMBIA WAKATI WA KUTUNZA "WASIO HAYA WANA MJI WAO" MESSAGE SEND, ZAMA NDANI KAMA KAWA

  

DECOR...!!
BAOME AKIINGIA UKUMBINI
MWALI AKIFICHULIWA
 TIMA ALIKUWA WA KWANZA AKIMFICHUA MWARI WAKE!!
BURUDANI
 NGOMA YA KIDUMBAKI, ZENJI INAPENDWAJE!!!
KINANDA CHA  RAHA ORIGINALLY WAKITUMBUIZA
WAALIKWA WAKICHEZA KIDUMBAKI, NGOMA YA ZENJI
 WATU WALIRUSHAJE ROHO!!
BI ARUSI AKIRUSHA ROHO
ZAWADI NA KUTUNZANA
 TIMA AKITOA ZAWADI
MAJIRANI TOKA KIBAMBA
 TIMA NA WIFIYE
 
TIMA AKITUNZA NA DADA YAKE
 TIMA HAPANA CHEZEA
 RAHMA TALL AKIENDA TUNZA TIMA
 RAHMA TALL NA PAMBE YAKE WAKITUNZA TIMA
BAADA YA KUTUNZA WALIRUHSAJE ROHO!!
TIMA LEO MAHELA KWA KWENDA MBELE...!!!
 
BI. MWANAHAWA ALLY
 MWANAHAWA ALILETWA NA NANA SPECIAL KWA AJILI YA KUMUIMBIA WAKATI AKIMTUNZA SHOSTI WAKE TIMA, HAPANA CHEZEYA UKO JUUUUUU!!!, UNAJUA NI NYIMBO GANI HIYO " WASIO HAYA WANA MJI WAO"
 NANA NA NDUGU YAKE FAIZA AKIMSINDIKIZA KUTUNZA 
NANA NA PAMBE YAKE !!!
 MUTOTO YA SAIDA RUSHA FWEZA KAMA MAMA EEH!!
 TIMA NA NANA NI MASHOSTITO WA UKWEE'E
 NANA KANYAU AKIMTUNZA BI MWANAHAWA ALLY!!! CHEZEYA WEWE
 DADA YAKE TIMA AKITUNZWA
 TULIAMBIWA ALL THE WAY FROM MOROGORO KUJA MTUNZA SHOSTI
 FATUMA HASSANOL AKIMTUNZA SHOSTITO WAKE!!!
 FATUMA HASSANOL NA PAMBE YAKE!! CHEZEA MUKE YA MUTU!
NYUSO
MY QUEEN, NANA MIMI PENDA WEWE!!
NANA KANYAU & SHOSTITOS!!!
FATUMA HASSANOL & FRIENDS
WAFANYAKAZI WA AMINA DESIGN WAKIWAKILISHA!!!
EASTER NA SHOSTITO MAMA NAA, PENDEZA EEH!!
NANA KANYAU UNAFUATA NYAYO ZA MAMA EEH!! 
NAONA MADINI KILOS!! HAPANA CHEZEA
RAHMA TALL, TIMA & SAMEERA
TIMA WA UKWEE'E
TIMA & FRIEND
TANISA, NURU, SABRINA & FAIZA
FAIZA & NADIA
TIMA AKIWA NA DADA YAKE & SHOSTITO
RED CARPET

Post a Comment

10 Comments

 1. Aisee iilipendeza balaaa ....wabongo tuko juu
  Hapana chezea hiyo toto ya saida...yani nana ni nyayo za mama kwisha kazi...amechafua madini pale kati ebwanaaa ehh saida mungu akukuzie
  Akuepushe na balaa na midomo ya watu
  Wafunge midomo hivo hivo na watoto pambe sanAAAA..FAIZA NI SAIDA COPY RITE...
  Belgium tunakupa salute dada hellen

  ReplyDelete
 2. singo maana yake ni nini ni km kitchen party au ndo kitu gani?

  ReplyDelete
 3. hapana chezea toto za gadaph time dadake upoo juuu

  ReplyDelete
 4. Jamani muwe wastaarabu kwenye makeup napia alompamba bi kharusi mtara hajamtendea Haki. Pakeni foundation zinoendana na Ngozi zenu mnatisha wengine.

  ReplyDelete
 5. nakubaliana na wewe ,alompamba bi harusi mtarajiwa kamnanga weeeeee!!!!nguo yake nzuri uso kamtarangua mwenziwe.

  ReplyDelete
 6. Nionavyo mimi tatizo make-ups tunazotumia, si 'quality' ya kutumia kwa bi arusi, kama uwezo wa kununua nguo ya gharama na mengine yote ya gharama kwa bi arusi kwanini basi tusiwe na make-ups pia za gharama, na pia kuwatumia wenye saloons waliosomea shughuli hizi, kwani watakua na 'make-ups' za quality na ufundi pia wakuweka mana hizi tunazotumia ni kwambia jasho likitoka linatoka na mipoda ndo zile za 'muradi tu na mie nnayo' sasa tuwe tunajifunza angalau basi kwa bi arusi zitumie make-ups za gharama ambazo hata mtu akitoka jasho hazichuriziki, manaa ni siku muhimu kwa bi arusi; kama ambavyo tunaonesha ma furniture ya bei na mengine na shughuli yenyewe kwa ujumla,tufanye hivo pia na kwa maarusi wetu; vinginevyo haya mapicha tusioneshe basi maana kama sie tunaangalia NAIJA WEDDINGS, na wao pia tujue wanaangalia zetu, sasa hatuoni kuwa tunaonesha kichekesho!! watatushangaa kwa kweli maaana ni vitu viwili tofauti.

  ReplyDelete
 7. hahhaha mbona yule wa madini amevua madini yake kwenye picha ya mwisho,chezea watoto wa kitaaa lazima wakukate sikio na shingo,unaringishia madini kwa watoto wa mtaani

  ReplyDelete
 8. jamaniii jamaniii bi harusi ni mzurii lakini kitu kinaitwa MAKE UP ni zerooo,lol...nguo yake nzuri mashaaalaah..

  ReplyDelete
 9. JAMANI MASALOON ZINGATIEN MAKE UP MSIWANANGE MAHARUSI .MNAJAZA KAA UNGA AU BABY POWDER M
  MAKE UP
  MAKE UP
  MAKE UP

  ReplyDelete
 10. JAMANI UREMBO UPO ILA MAKE UP TUWEKE KULINGANA NA RANGI YAKE

  ReplyDelete