UMMY'S BABY SHOWER!!!

UMMY ALIANZA WA KUKATA CAKE YAKE, BABY SHOWER YA UMMY ILIKUWA SIMPLE NA NZURI, GAMES NYINGI NA MAMBO MENGI MAZURI, ZAMA NDANI KAMA KAWAIDA UJIONEE......!!!!!!

BABY SHOWER GAMES
KULIKUWA NA MICHEZO MBALIMBALI YA BABY SHOWER!!
WAALIKWA WAKICHUKUA NUMBER KWA AJILI YA MASWALI
WAALIKWA WALIKAA KATIKA GROUPS ILI KUJIBU MASWALI!!
WATU WAKIWA MAKINI ILI KUJIBU MASWALI
MAMA YAKE UMMY AKIWA MAKINI KUJIBU MASWALI!!!
BEST FRIEND WAKE UMMY AMBAYE NDIE MUANDAZI WA SHUGHULI HII, AKIWA MAKINI KUSASAHIHISHA KARATASI ZA WASHIRIKI, KULIKUWA NA ZAWADI ZA PERFUME KWA WASHINDI
MCHEZO WA PILI HUU HAPA, HIVI VICHUPA VYA WATOTO VILIWEKWA JUICE NA CHUCHU YA CHUPA IKIWA SEALED, WASHIRIKI WALITAKIWA KUTOBOA TUNDU NA KUNYONYA HARAKA ATAKAYEMALIZA NDIYE MSHINDI, MMENUONA MSHINDI ZERO DAKIKA ALIMALIZA ILIKUWAJE?
WASHIRIKI WENGINE WAKINYWA KWA SPEED
MSHINDI ALITOBOA TUNDU KUBWA SANA!!
MCHEZO WA TATU, WAALIKWA WALIPEWA KAMBA NA KILA MTU ALIKATA UREFU AMBAO YEYE ANAHISI NDIO UTAKUWA UPANA WA TUMBO, MSHINDI NI YULE KAMBA YAKE ITAKAYO FIT KWENYE TUMBO LA MAMA KIJACHO
HAPA RAFIKI YAKE UMMY AKIPIMA KAMBA YAKE AMBAYO ILIZIDI UKUBWA! AH! AH!
AUNTY YAKE UMMY AKIPIMA KAMBA YAKE KAMA ITAFIT KWENYE TUMBO LA MAMA KIJACHO, AH! WAPI
WASWAHILI WANASEMA MAMA SIKU ZOTE HAKOSEI, MAMA YEK UMMY NDIE MSHINDI WA MCHEZO WA KAMBA, KAMBA YAKE ILIFIT MIA KWA MIA!
MAMA AKIONYESHA ZAWADI YAKE!!!
MCHEZO WA NNE, NI KUPULIZA PUTO HALAFU UNAPEWA PIN NA NEPI ULIFUNGE PUTO KAMA UNAVYOMFUNGA MTOTO NEPI BILA YA KUTOBOA!! HAPA ZUWENA AKIJITAHIDI KUFUNGA NEPI
MSHINDI NI HUYU HAPA ALIMALIZA WA KWANZA BILA YA KUTOBOA PUTO

USHAURI
WAALIKWA WALIPATA CHANCE YA KUMSHAURI UMMY MASWALA MBALIMBALI YA KUMLEA MTOTO, MWENYEZI MUNGU ATAKAPOMJALIA KUMPATA MWANAYE SALAMA NA WENGI WAO WALIMUOMBEA DUA, AMALIZE SAFARI YAKE SALAMA
 KULIA: NI MKUNGA AMBAYE YEYE ALIMPA USHAURI ATAPOSIKIA UCHUNGU WA UZAZI ANATAKIWA AFANYE NINI, NA KIPINDI AKIWA HOSPITAL AFUATE MAELEKEZO YA MKUNGA

ZAWADI 
 UMMY ALIPEWA ZAWADI MBALIMBALI TOKA NA WAFANYAKAZI WENZAKE
UMMY SWEET SEKIBO - KILA LA KHERI MDOGO WANGU, MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE!!

NYUSO
MAMA KIJACHO AKIWA FURAHA
RED CARPET

Post a Comment

5 Comments

 1. Nimependa wazo la kumualika Mkunga kuhudhuria baby shower.

  ReplyDelete
 2. Tulienjoy hyo siku mpaka basi, thanks to ummy, and the cake was tamuuuuuu

  ReplyDelete
 3. uhhhh Hongera sana

  ReplyDelete
 4. hongera mama kijacho baby shower imekwenda shule umeshinda hata baby shower za majuu mambo yako classy game husika zimechezwa mkunga anahusika mwee wewe dada lazima utakua uliishi mamtoni nimeipenda sana big up sherehe nzuri sana tuige mfano wenzangu mimi nimeshacopy na kupaste tayari kila lakheri mamy na uzazi mwaa mwaa

  ReplyDelete
 5. This looks like a fun-filled baby shower party! I love the part where you guys share the cake... So sweet.

  ReplyDelete