AMINA DOTTO KAPUYA's NIGHT!!!

BRIDE    :: AMINA DOTTO
VENUE  :: KARIMJEE GROUND
ENTERTAINMENT:: EAST AFRICAN BAND, MUSIC
COLOUR:: PINK,  LIGHT BLUE, CREAM
CATERER::
MC:: ANGELA BONDO
THEME:: ZANZIBAR
 
WADAU THEME YA SHUGHULI YETU NI ZANZIBAR, KILA KONA KUNA SWAGA ZA KIZENJ!!! BONYEZA KIZENJI....

Decor...!!
 CHAMPGNIE
MAMA TATU KAPUYA AKINYWA CHAMPGNIE NA WANAWE
MIRIAM AKICHEZA NA CHAMPGNIE, HAPANA CHEZEYA IKO KWENYE FAN!!!
CHAMPGNIE ZIKIENDELEA KUFUNGULIWA
WANAKAMATI HAPANA CHEZEA
BURUDANI
LIVE BAND EAST AFRICA MODERN TAARABU

WASAA WA MAMA NA MWANA KUONGEA
DOTTO NAYE AKIMPA ZAWADI MAMA YAKE.... NA KUMSHUKURU
MAMA NAYE ALIMKABIDHI ZAWADI MWANAYE PIA KUMSHUKURU KWA KUWA BINTI MWENYE ADABU NA HESHIMA MPAKA HIVI LEO TWACHEZA....!! INAFURAHISHA  KWA KILA MZAZI ALIYEUMWA NA TUMBO LA UCHUNGU.....!!!!
MAMA WA KUSHEREHESHA KAMA KAWAIDA YAKE DALILA JAGAR
TATU KAPUYA AKIMTUNZA MAMA ROSE RUPIA WAX KWA MCHANGO WAKE KAMA MWENYEKITI WA KAMATI, KITENGE !! WADAU THEME YA ZANZIBAR NI MAMA ROSE RUPIA.....!!! 
NA MAIMUNA PIA ALITUNZWA
KIFUTA JASHO KWA MAMA NA MWANA
SHOSTITO WAKE DOTTO AKIMTUNZA DOLLAR...!!!


KURWA NA DOTTO
KURWA & DOTTO
KURWA AKIMPA DOTTO ZAWADI, AMBAYO KUTOKANA NA MVUA HAIKUWEZEKANA KUFIKA UKUMBINI
KURWA NA DOTTO
CHAKULA
UDI NA ALUDI
BAADA YA WATU KUMALIZA KULA WALIPAKWA AL-UDI, NA KUFUKIZWA UDI, MNAKUMBUKA THEME  ZANZIBAR!!!
CHAKULA
 NYUSO
LILIAN & ANGELA

KURWA N 
HEKAL & RUKIA ABEBE
MWAJEY & SHOSTI WAKE
JOHA, MARIAM, HELLEN & FATMA
RED CARPET

SWAGA'S
ASANTE KWA KUNITEMBELEA!!Post a Comment

10 Comments

 1. Mashallah aliyempamba bi harusi kamtendea haki bi harusi kapendeza sana

  ReplyDelete
 2. Wow, harusi tamujeeeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 3. nauzuri wake unachangia

  ReplyDelete
 4. Mbona bi harusi anafanana na Mariam Lweno

  ReplyDelete
 5. PICHA HAZIFUNGUKI. NAOMBA USHUGHULIKIE HILO TATIZO

  ReplyDelete
 6. UMEONA EEH BI HARUSI ANAFANANA KWELI NA MARIAM

  ReplyDelete
 7. Jamani kuna mkono hapo umepiga saa ya mkononi Longiness Dolce vita, mmhhhh shikammoo dada/mwanamama heshima yako!!!!

  ReplyDelete
 8. Helen hongera you look cute harusi nzuri watu mashallah wamependeza saaan ila kuna dada hapo mhh sidiria mwenzangu na bega moja wapi na wapi

  ReplyDelete
 9. My sisters Jokha simba yani napenda saana wewe uko simple mapigo yako tuu dada na wifi zangu Miriam JOGGI na Mama Dito mashallah

  ReplyDelete