DANGA AHMED & ARAFA RECEPTION WEDDING

BRIDE     :: ARAFA
GROOM  :: DANGA AHMED NUNDU
VENUE     :: MARKHAM MAYFAIR HALL
COLOUR  :: LIGHT BLUE & YELLOW 
ENTERTAINMENT:: LIVE MUSIC BAND
MALAIKA
WADAU ZILE PICHA ZA ARUSI YA DANGA NA MKEWE KIPENZI ARAFA HIZI HAPA, WATU WAMEPENDEZA KWA SANA. MAARUSI NA WAPAMBE WAO FUNIKA SANA, NISIONGEE SANA BORA UONE MWENYEWE, DUMBUKIA NDANI KUONA ZAIDI


 ARAFA & DANGA
DECOR......

CAKE & CHAMPGNIE 

KEKI ILIKATWA KWA PAMOJA

ARAFA & DANGA WAKILISHANA KEKI
BEAUTIFUL, NILIPENDA SANA MAKEUP ZAO!!!
ARAFA AKIMLISHA KEKI ESHE KAMA ASANTE YAKE
DANGA AKIMLISHE BEST MAN WAKE NICKO KAMA ASANTE
DANGA NA MKEWE ARAFA PAMOJA NA WAPAMBE WAO NICKO & MKEWE ESHE NDIO WALIFUNGUA CHAMPGNIE
WOOOOH CHAMPGNIE ZOTE ZILIFUNGUKA KWA PAMOJA
DANGA NA MKEWE ARAFA WALIJUMUIKA NA WAALIKWA KUGONGANISHA GLASS
BURUDANI
LIVE BAND
SPECIAL KWAITO YA ARAFA & DANGA
KWAITO LAZIMA MGONGO UINAME KIDOGO
ARAFA NA DANGA WAKIDUARIKA
NYUSO
 
RED CARPET
SWAGA

NEXT BRIDEPost a Comment

3 Comments

  1. mashallah haruc nzuri na mungu awaepusha na jicho la husda..ila dada mashughuli mbona picha za maharuc huweki za kutosha..

    ReplyDelete
  2. picha za maharuc unaweka chache ongeza

    ReplyDelete