HALIMA KITCHEN PARTY!!!


VENUE:: MANGO GARDEN
BRIDE:: HALIMA
COLOUR::BROWN & YELLOW 
HALIMA NA SOMO YAKE , BAADA YA KUINGIA UKUMBINI, HALIMA PENDEZA EEH!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....

HALIMA
 SWAGA ZA HALIMA
MC MUUU!!
ZAWADI

MWALI AKIFICHULIWA
ZAWADI
Cake & Champgnie 
 HALIMA AKIKATA KEKI
 UCHUNGU WA MWANA AUJAWAYE MZAZI, POKEA MAMA YANGU WEEEE!!
 MAMA ASANTE KWA KUNILEA!!!
SOMO YANGU ASANTE SAAANA
 SOMO NA MWARI
MWENYEKITI WA KAMATI AKIPATA KEKI YA ASANTE
BURUDANI
TULIRUSHWA ROHO NA DJ WHITE, EEH HILO NDIO JINA LAKE MZIKI KUBWAAA!! AKIWA NA MC MUUU!!
HALIMA AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE
MAMA MZAZI WA HALIMA AKIKABIDHI ZAWADI KWA MWANAYE
 
MAMA MZAZI SALAMA PIZA AKITOA ZAWADI
MAMA MLEZI NA MWANA
SOMO AKITUNZWA
WIFIS WAKITOA ZAWADI
FAMILIA YA MAKUKA WAKIENDA TOA ZAWADI
WAFANYAKAZI WENZAKE HALIMA TOKA UCHUMI SUPERMARKET
BAADA YA KUMPA ZAWADI SHOTI WAKACHEZA
NYUSO
RED CARPET
SWAGA

Post a Comment

6 Comments

 1. sarafina nimekukubali ndugu yangu,lol mtoto umenonaaaa ile mbayaa,du nataka hicho kiatuuu,..mamaa wa mujin...lol
  anyway asante hellen

  ReplyDelete
 2. Hmmmm bibi harusi hiyo make up na hair style Ddoooh mnisamehe bure

  ReplyDelete
 3. Aliempamba biharusi mweh

  ReplyDelete
 4. Mmmmmm bi harusi umedataje

  ReplyDelete
 5. Bad make up bi harusi wamemfuja

  ReplyDelete
 6. sherehe imependeza rakini wana wa blog muwe mnajitahidi picha ziwe zinafunguka tunasubiri muda mrefu picha hazifunguki.pia mnawaremba sana maharusi wanakuwa vituko mnatakiwa muwapambe simpo inapendeza pia.

  ReplyDelete