KAJALA AKARIBISHWA URAIAN HIVI...!!!

VENUE:: AMBASSADOR LOUNGE

KEKI YA KAJALA 
 KAJALA AKIMSHUKURU WEMA SEPATU.....!!! NA WAALIKWA PIA KWA KUSHOW LOVE
 WEMA AKIONGEA NA KAJALA...!!
 AKIKATA KEKI YAKE
 WA KWANZA NI WEMA KAMA VILE JINA LAKE...!!
 HAPA NI BFF...!!!
 AUNTY EZEKIEL
 BILAL MASHMASH...!!
 IVYONE
 NYUSO..:
 MIMI NA WEWE MPAKA KUFA...!!
PHOTO-CREDIT BY ZEDDYLICIOUS

Post a Comment

4 Comments

 1. wema yo rocking black hair achana na marangirangi

  ReplyDelete
 2. jamani mbona simuoni jenipha pemba karibu na wema na kajala?maana mtoto wawatu kila siku alikuwa lazima ampelekee shoga yake chakula jela alikonda kwakumuwaza kajala ila toka naona kajala katoka kutwa yuko tu na wema au kisa wema katoa million 13 kumtoa kajala jela?je na jenipha alivyokuwa anatia gari yake mafuta nakupika chakula kila siku nakupeleka jela siimepita hata huyo milion13?sio vizuri kajala tulitegemea utaweka tatoo ya jenipha sio wema kwa wema wa mara moja dunia hii haya yetu macho ushauri wangu mthamini wema na jenipha sawa wote niwatu wazuri kwako usibague kisa kipato

  ReplyDelete
 3. yani ww mdau hapo juu umeandika pumba kabisa. alietoa mil 13 na mpeleka chakula ashukuriwe nani sana? unadhani bila chakula cha huyo jenipha Kajala asingekula jela? na bila hiyo mil 13 ya wema huyo kajala angefungwa muda gani? kama umeamua kumsema kwa kutomuweka karibu huyo jenifa sawa lakini sio kukompare upupu huo. kila mtu alimsaidia kwa njia yake but ya wema ni kubwa sana. atamshukuru maisha yake yote. 5yr jela sio mchezo

  ReplyDelete
 4. maoni yangu ni bora angefungwa hiyo miaka mitano ili iwe fundisho kwa nyie wasanii wenye tamaa,hakuna cha wema wala jenipha,wote kundi moja

  ReplyDelete