KANUMBA AFIKISHA MWAKA!!!

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA KANUMBA KUFANYIKA LEADERS CLUB KINONDONI IKIWA NI SAMBASAMBA NA UZINDUZI WA FILAMU YAKE YA MWISHO "AFTER  DEATH", WATAYARISHAJI WA SHUGHULI HII NI FAMILIA YA KANUMBA, PREVIEW YA FILAMU ITAONYESHWA 
SIKU:: 07/04/2013 (JUMAPILI)
MAHALI:: VIWANJA VYA LEADRES
MUDA:: SAA 8 MCHNANA

Post a Comment

0 Comments