NEEMA BRIDAL SHOWER!!!!

BRIDE:: NEEMA KARAMUNA
VENUE:: PICOLO BEACH, GRANDE HALL
MAKEUP:: IRENE MOSHA
SOMO:: SHARRIFA KAVU
DRESS:: J & M VIRGO
MC:: COLUMBA SAMJELA
COLOUR:: RED, YELLOW & WHITE
DATE:: 21ST APRIL, 2013
HAYA SASA WADAU NAJUA MLIKUWA NA KIU SANA NA HIZI PICHA KWA SABABU VIONJO VYAKE VIMEWASTHUA SHUGHULI BOMBA ILE MBAYA, MAANA NIMEONA COMMENTS, MAKE-UP KAMA NAIJA VILE DUH NAONAJE RAHA...!! MAKEUP IKIWA POA NA PICHA NAZO ZAPENDEZA HIYO NDIO SIRI, ZAMA NDANI UONE WADADA WA MUJI HUU WANAOTIKISA JIJI WALIVYOGARA...!!!, HAPANA CHEZEA FAMILIA YA KARAMUNA MKO JUU

NEEMA KARAMUNA!!
SWAGA ZA NEEMA
MC
MC KOLUMBA
 Souvenir
KILA MUALIKWA ALIPATA SKARF!!!

WANAKAMATI WAKIMUINGIZA MAMA UKUMBINI
DECOR....!!!
CAKE & CHAMPAGNIE CAKE
NEEMA AKIKATA KEKI
MAMA NDIO ALIMLISHA MWANAE KEKI
THANK YOU MAMA!!!
WIFIS!!!
WAFANYAKAZI WENZAKE NEEMA, WALIPATA KIPANDE CHA KEKI
WAFANYAKAZI WA TANESCO, ETI WANASEMA "HATA UJUE KUKATIKA KIASI GANI, HUWEZI KATIKA KAMA UMEME WA TANESO" NILISOMA SEHEMU WAZO LA LEO
KEKI YA WANAKAMATI
CHEZA
KWAITO YA NEEMA 

HAWA NDIO WALIONGEA NA NEEMA
MAMA ALIONGEA KIDOGO SANA
MANENO YA HEKIMA NA BUSARA YALITOKA KWA DADA SADAKA, WENGI TWAMJUA NI MUELIMISHA
ZAWADI

MAMA AKIMKABIDHI LILIAN BIBILIA NA KALENDA YA KANISA, ILI AKUMBUKE KUSALI KILA SIKU
ALMVISHA KHANGA NA KITENGE!!!, ZAWADI ZA MAMA ZILIKUWA NYINGI!!!

SOMO HAO...!!!
JOPO LA MASOMO WAKIONGOZWA NA MAMA SHARIFFA KAVU WATOTO WA MUJINI
WANAKAMATI WAKIONGOZWA NA M/KITI KUKABIDHI ZAWADI YAO!!
5,000,000/= 
NEEMA ALITOA ZAWADI KWA DADA ZAKE, YEYE MWENYWE ANAWAITA MAJEMBE YAKE WA MJINI, MAANA WANALIMA MPAKA BARABARA!!!
MASHOSTITO WA KARIBU NA WATOTO WA MAMA KARAMUNA WAKIMFUTA JASHO MAMA KARAMUNA
LILIAN KWA HESHIMA AKIMKABIDHI MAMA YAKE ALICHOMUANDALIA
IRENE URIO NAYE AKITOA ZAWADI YAKE
M/KITI WA KAMATI, HAPANA CHEZEYA
LEMINA AKIMPA MAMA ZAWADI
MISHY ALITOA ZAWADI YA MAMA KWA STYLE YAKE
LILIAN KARAMUNA AKIFUTWA JASHO...!!!, YES YOU DESERVE!!! 
MAHELA YALIMWAGA SI MCHEZO
MWISHOWE WAKAAMUA KUMBEBA KABISA, UKIPENDWA RAHA EEH!!
LILIAN AKIPEWA ZAWADI NA NDUGU ZAKE...!!
ADELINA AKITUNZWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE
NYUSO

RED CARPET
MAMA NA MABINTI
SWAGA

Post a Comment

5 Comments

 1. Hongereni kwa sherehe nzuri mno. Mmependeza wanawake/kinadada. make up imetulia mno na kila la kheri kwa Neema. Lilian Kalumuna uko juu ex msalato mwenzangu umenikumbusha Dodoma miaka ya 90/92. Umependeza sana na hongera kwa Neema

  ReplyDelete
 2. KWANZA KABISA LAZIMA NIMPONGEZE MPIGA PICHA. KWA MARA YA KWANZA KABISA PICHA NI SAFI MNO, KWA MAANA YA UBORA WA PICHA NA PIA UCHAGUZI WA PICHA GANI ZITOKE KWA WATU WOTE WAONE, HONGERA SANA NAOMBA UENDELEE HIVI HIVI!!! PILI NAWAPA HONGERA WENYE SHUGHULI, MBONA MMETUFUNUA, NAKUSUDIA KUSEMA, LAITI WOOOOTE WENGINE WANGEKWENDA, AMA KWA MUWEKA MAKE-UP WENU, AU WANGEJIFUNZA KUTOKANA NA PICHA HIZI, JINSI YA KUWEKA MAKE-UP ZA KIASI NA KUPENDEZESHA NYOTE NA PIA KUPENDEZESHA PICHA ZIONEKANE NZURI KATIKA BLOG HII JAMANI. HONGERENI NYOTE KWA SHUGULI NZURI MNO KIASI KUFANANISHWA NA NAIJA!!! MNASTAHILI, MKO NATURAL KABISA, SI KUJIKANDIKA KAMA WACHEZA VILUA!!!!!! TUIGE JAMANI HUU NI MFANO MWENGINE TOSHA KABISA..... KWANINI TUWEKE RANGI ZA RAINBOW KWENYE MACHO??? EYE SHADOW LIGHT KABISA NA RANGI MOJA JAMANI INAPENDEZA, SI TUWAONE WENZENTU HAWA!! MICHANGANYIKO JAMANI KAMA TUNAFANYA BIASHARA YA KUTANGAZA VIPODOZI??? TUSOME JAMANI TUPENDEZEEE NA SISI WATUSIFIE HUKO MAJUUUU... KILA LA HERI BI ARUSI MTARAJIWA, NNA HAKIKA UTAPENDEZA ZAIDI SIKU YA SIKU.

  ReplyDelete
 3. Hongera sana neema, mwanamzumbe mwenzangu.

  ReplyDelete
 4. this is fabulous...

  ReplyDelete