NEEMA'S NIGHT

VENUE   ::SHEKINAH GARDEN
CAKE      ::MONICA MSASANI
DRESS    :: J & M VIRGO
DECOR   ::DSM OCCASION +255 754 424 142
MAKEUP & HAIRSTYLE:: IRENE MUSHI
COLOUR:: LIGHT BLUE & WHITE
HAYA HAYA WADAU HIVI NDIVYO NEEMA KARAMUNA ALIVYOINGIA SHEKINAH GARDEN, WADAU MAKE-UP BADO IKO JUU KWA NEEMA NA MPAMBE WAKE, UKIJA KWENYE DECOR, NIMEPENDA ZAMA NDANI UJIONEEE

NEEMA KARAMUNA
 
 
 
 
 
 

 SWAGA ZA NEEMA
DECOR
 DJ
JAMANI NILIAMBIWA HUYU DJ NI KIBOKO, SIKUAMINI LAKINI BAADAYE BIG UP KIJANA!!!
CAKE
NEEMA AKILISHANA KEKI NA MPAMBE WAKE
MAMA NA BABA KARAMUNA WAKIPPKEA KEKI YAO
WAKWE WAKIPOKEA KEKI YAO
MWENYEKITI WA KAMATI AKIPOKEA KEKI KWA NIABA YA WANAKAMATI
CAKE YETU HII HAPA YA VUNJA KAMATI
CHAMPAGNIE

WANAKAMATI WAKIGONGA GLASS ZAO!!!
NEEMA AKIMKARIBISHA ANDREW CHAKULA CHA JIONI
 
NYUSO


RED CARPET

 
SWAGA

Post a Comment

3 Comments

  1. imependeza, hongera sana dada Neema, all the Best in your upcomming marriage

    ReplyDelete
  2. mmmmmmmmmmmmmmmmmmmm mambo waaaaaaaaaa!!! mie naomba kuuliza, shughuli za mtarajiwa huyu tangu zianze, jamani, ni arusi ambayo si bi arusi, wapambe hadi wageni waalikwa, wote make-up ni kiboko!!! suali langu: je walikwenda saloon moja kupambwa au mlangoni wakati wa shughuli walikua wakiangalia kadi na make-ups??? manaa jamani, arusi imependeza, kuanzia bi arusi, wapembe hadi wageni wooooooooooote waalikwa, na zaidi make-ups, kila mmoja imemtulia usoni, na zinafanana kila mmoja kwa rangi ya ngozi yake!! HONGERENI SANA SANA SANA, kama ni saloon basi hizi inafaa ziandikwe na wengine twendeeeee!!!! Wanastahili pongezi !!! na kama mmejipamba wenyewe basi kwa kweli mnafaa kuwa walimu wa saloonz zetu...

    ReplyDelete
  3. Naomba uwe unaandika information on: event,makeup artist,wapambaji wa hall,designer wa nguo,wapishi etc...Itasaidia sana kuendeleza bog yako. Big up unafanya vizuri.Keep up the hard work.

    ReplyDelete