ONJA:: ARAFA WEDDING RECEPTION!!!!

 PENDEZA EEH!!!
 MAARUSI NA WAPAMBE WAO, ARUSI PAMBE, WAMEPENDEZAJE MDAU HIZI PICHA KIDUCHU NI KUONJA TU, MAMBO KAMILI YAJA.....!!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

IPTY & FRIEND
 BURUDANI
 LIVE BAND
MAARUSI WAKIDUARIKA!!!
KWAITO EEH!!
 RED CARPET

STAY TUNED PICHA KAMILI ZAJA

Post a Comment

3 Comments

  1. Uwiiiii magauni ya njano balaa wamenunua wapiii re h mwak

    ReplyDelete
  2. Nimewapendaje awo wenye njano, nisaidie na namba ya uyo m2 aliyemchora hina plz!!

    ReplyDelete
  3. Picha nzuri japo twasubiria nyingine lakini da Hellen umepiga picha nzuri hao wachache wamependeza sana. Bi harusi na mumewe wamependeza mno. Make up zimetulia mno.

    ReplyDelete