RAYA - KITCHEN PARTY !!!


VENUE:: TAMBAZA HALL UPANGA
COLOUR:: KENTE COLOURS
ENTERTAINMENT:: LIVE BAND KILIMANJARO RAHA ORIGINALLY
MC:: MISHY
RAYA AKIINGIA UKUMBINI, MWENYEWE ANA RAHA TELE..!! SOMO YAKE MARIAM MNTAMBO AKIMSINDIKIZA RAYA, SHUGHULI BOMBA ZAMA NDANI UMUONE INJINI YA JIJI...!!!

RAYA
SWAGA ZA RAYA
MC
MC MISHY
DECOR
ZAWADI
CHAMPAGNE
CAKE
KEKI YA RAYA ILIKUWA NI JITANDA, PEMBENI LIMEZUNGUKWA NA VIPODOZI
RAYA AKIKATA KEKI
MWANAMKE KILA KITU KUONJA, RAYA AKIONJA KEKI YAKE KABLA YA KUWALISHA WAPENZI WAKE
RAYA AKIMPA KEKI MAMA YAKE KIPENZI, RAYA ALISEMA PIA NI SHOSTI WAKE WA UKWEE'E
BONGE LA WIFI AKIPATA KEKI
BI SALMA, MAMA YAKE RAYA WA HIYARI AKIMPA KEKI YA ASANTE 
MARIAM SOMO YAKE AKIPATA KEKI
BURUDANI
LIVE BAND KILIMANJARO RAHA ORIGINALLY
ZAWADI
MAMA, BI SAUDA AKIENDA MPE MTOTO WAKE ZAWADI YA SET MADINI
MASANDUKU YA MAMA HAYOOO!!!

HAWA DADA YAKE RAYA, AKIMKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI

FAMILIA YA SALMA MNTAMBO WAKIENDA TOA ZAWADI YAO, MARIAM MNTAMBO NDIO ALIOWAONGOZA, HAPANA CHEZEYA DADA WA MIPANGO...!!!


FAMILIA YA SALMA MNTAMBO WAKIENDA KABIDHI ZAWADI
BAADA YA FAMILIA YA SALMA MNTAMBO KUTOA ZAWADI, KAMA KAWAIDA YA INJINI YA JIJI, MTOTO WA KARIAKOO LAZIMA ACHEZE NA MAIKI 
FAMILIA YA MAMA MNTAMBO
REHEMA AKITUPA SHOW KIDOGO
WIFIS WAKIPELEKA ZAWADI
WIFIS

HAWA AKITUNZWA NA WADOGO ZAKE TOKA TANGA 
RAYA ALIWATUNZA DADA ZAKE MAHELA

NYUSO
MWANAHAMIS CHAMUGANDA, NYAKANGA WA MANYAKANGA!!
KHADIJA
BHAI KUBWA!!
ZUHURA & MARIAM
NUNU, MWANAIDI & FRIEND
SAMEERA WILLIAM
MARIAM K, DK 5 MBELE!!
MRS. OCBISA WA UKWEE'E
RED CARPET
SALMA MNTAMBO, INJINI YA JIJI, TUKUMISS SANA HAPA BLOGUNI!!
NUNU SAGAAF
REHEMA MJATA
HALIMA KAMUSI, NGUO DESIG BY HK's COLLECTION, PENDA WEWE MSHONO, CALL NOW THIS NUMBER +255 715 555 525
MRS. OCBISA
SWAGA


Post a Comment

3 Comments

 1. Khadija Mntambo nakupenda sana wewe mdada uko so natural mana wasichana wa sikuhizi kila mtu anataka kuwa mweupe(KUJIKAROLITE). Lakini ww kila nikikuona humu ni uko na rangi yako unaishia kupendeza tu..

  shughuli ilikuwa nzuri watu walipendeza. Safi sana

  ReplyDelete
 2. hv hawa Mntambo wanafanya shgl gan mjini? Au wana majumba kkoo? coz kwa kutunza watu vitu vya thaman hawana mfano....wapi Dalila Jagar,Designer Bahia n bi. jokha Simba? Tanti boy jee, Tanisa Mwaibula....Kanyaus family....nawapenda sana...

  ReplyDelete
 3. Kweli nachosema mi sijaona shughuli hao Mntambo wakatoa vitu vya kawaida wao kila siku mafanicha, mahela na vitu vingine. Na mi nataka niwajue jamani mana si mchezo. Hata kama ndo wanamajumba Kko lkn pia wanamoyo wa kutoa

  ReplyDelete