SHANI SIMKOKO AFANYA SHUGHULI YA KUMKABIDHI SHOSTI WAKE MARIAM ZAWADI ZA BABY MAHDI!!!

VENUE: MOTEL JASMINA - K\NYAMA
MAKE-UP:: VERO SALOON - SINZA
MARIAM AKIINGIA UKUMBINI
WADAU SHUGHULI SI NDOGO, KIBAO KATA, MELODY BAND LIVE, MASTAA WA TAARBU NDANI YA NYUMBA, ILIKUWA NI KULA NA KUNYWA MWANZO MWISHO SI MWINGINE NI SHANI SIMKOKO MTU PESA...!! ANAWAJALI WAALIKWA ZAID, ZAMA NDANI UONE MIJIZAWADI YA NGUVU....!!

 MARIAM
MARIAM, MAMA YAKE MAHDI
MC
NI YULE YULE JEMBE LA KAZI JAMILA KITMTIM ANAFIT SHUGHULI ZOTE!!!
DECOR....
 
ZAWADI ZA SHANI SIMKOKO KWA SHOSTI WAKE MARIAM
ONA KWA NDANI SI TUPI ATI...!!!
BURUDANI
KIBAO KATA
 MELODY

 MASTAA KATIKA TASNIA YA TAARBU WALIKUWEPO
KHADIJA KOPA
 WENYEWE HAO...!!!
 ISHA - IRON LADY
VERO UMEGUSWA EEEEH!!
HAPANA CHEZEYA NANA MWENDO WA MAMA EEH!!
 BILAL MASH MASH
 BILAL MASH MASH TUNZWA KWA SAAAAN!!! NA SINGLE YAKE!!!
KIBAO KATA HIKOOOO
ROGER AKILINGUNGUTA GITAA LA MELODY UKO JUU
TUNZA & ZAWADI
WAALIKWA WAKITUNZA..!!
SHOSTITO WA MARIAM AKIMTUNZA SHOGAYE!!!
VERO WA MAMA WA VERO SALOON AKIMTUNZA MARIAM TARATIBU...!!!
HUSNA AKIMTUNZA MARIAM
SHANI SIMKOKO AKIFUTWA JASHO KWA SHUGHULI YA UKWEE'E
SHARRIFA AKIMTUNZA SHANI NA KAMPANI YAKE
HUSNA MADOHORA NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA SHANI
BAADA YA MUTUNZA SHANI WALICHEZAJE KIBAO KATA

SHANI NA MASHOSTITOS WAKIMKABIDHI MARIAM ZAWADI
SHANI NA MASHOSTITO WAKIMKABIDHI MARIAM ZAWADI ZA BABY MAHDI
MARIAM MACHOZI YALIMTOKAJE...
NI FUJO KWA KWENDA MBELE
KABATI LIMEJAA NGUO ZA BABY MAHDI
ALISASAMBUAJE MPAKA KUTUNZWA
FATUMA KIBAO MSASAMBUAJI MAARUFU AJALI LOLOTE
MWISHO MARIAM AKABEBWA...

NYUSO
SHANI, VERO & MARIAM
BILAL MASH MASH & SAADA
HUSNA, WASTAR & SHARRIFA WA MOODY MADENGE

NANA KANYAU

SAADA
LULU KILUVIA
KHADIJA KOPA
HAPPY & ZAKIA
ISHA - IRON LADY
SHEBBY & FRIEND

RACHEL 


MASHOSTITO'S WA MUJINI
LULU KILUVIA & FRIENDSHANI & MARIAM, BFF
HUSNA WAZIRI
SHARRIFA KAVU, HAPPY BAGHDELA & FRIEND
JAMILA 
MWATATU & FRIEND
MAAKUL
ILIKUWA NI KULA KULA TU, SUPU YA KUKU, NYAMA CHOMA.......

RED CARPET

SWAGAPost a Comment

1 Comments

  1. Nimependa Nana Kanyau alivosuka plz Da Hellen naomba contact ya msusi/Saloon
    Ahsante

    Fatmah!

    ReplyDelete