SHANI SIMKOKO AMPA ZAWADI MARIAM ZAWADI ZA MAHDI...!!!

TULIANZA ASUBUHI NA HAKIKA, MCHANA MAULID JIONI HOLINO SHANI SIMKOKO HAPANA CHEZEA, WATU WALICHEZAJEEE!! MARIAM ATOA CHOZI BAADA YA KUONA ZAWADI ZA BABY MAHDI, KULA NA KUNYWA MWANZO MWISHO...!!

 ENTERTAINMENT 
KIBAO KATA, MELODY BAND LIVE & RUSHA ROHO..!!

STAR IN THE HOUSE...!!
 ANASEMA A.K.A YAKE MPYA NI ION LADY OR SUPERWOMAN - ISHA MASHAUZI 
 KHADIJA KOPA...!!
 BILAL MASH MASH!!!!

ZAWADI ZA UKWEEE
STAY TUNED KWA PICHA ZAIDI...!!!

Post a Comment

5 Comments

 1. hajui kama superwoman ni JOYCE KIRIA?

  ReplyDelete
 2. Isha hapo umechemsha na hiyo aka yako. We know from the day one Joyce Kiria ndo suppppppppppper woman so find another aka

  ReplyDelete
 3. Na a.k.a hiyo ya IRON LADY ni ya ASHA BARAKA, Tuambie tukusaidie kukupa another A.K.A dada

  ReplyDelete
 4. Hakika ya mtoto ndio mpaka kwenye ukumbi, rusha roho na mambo yote ya kiutu uzima. Jamani the baby is just an angel na hahitaji hayo mambo ya kidunia!!! Kuweni makini wanawake hata kama umeamua kumtunza mwenzio si kufanya hayo uliyofanya.Ni mawazo tu lakini mmh

  ReplyDelete
 5. Aaah! Wenye PESA zao jamani.

  ReplyDelete