ONJA::NEEMA'S NIGHT@ SHEKINAH GARDEN MBEZI BEACH!!

 NEEMA PENDEZA KWA SANA JAMANI, MIE MAKE-UP TU!!

DECOR, HAPA SI  KAMA NAIJA NI NAIJA, BIG RESPECT TO KARAMUNA FAMILY!! KILA KONA IMEKAA SAWASWA
I LOVE THE TABLE ARRANGEMENT, TOFAUTI KABISA SI VILE TUMEZOEYA!!
 
 WANAKAMATI WAKIWA TAYARI KUMPOKEA MALKIA!!
 UMEONA EEEH!!
 MR & MRS KARAMUNA
 MY BFF ROSE & HUBBY WAKE LOL!!

 LILIAN
JACK N FRIEND
 SISTAZ !!!

HIZI NI ZA KUONJA TU, PICHA KAMILA ZAJA...!!

Post a Comment

4 Comments

 1. WooooW NO COMMENT

  ReplyDelete
 2. bongo mko juu kila kitu nimependa kuna mdada kasuka nimependa nyweke mmmh. kutoka picha ya BFF ROSE ya chini
  kiukweli kama ya kinaija

  ReplyDelete
 3. plzzzzzz da hellen,tupe namba ya cm ya mpambaji na utuambie anapatikana wapii...make up kwa kweli imekwenda shuleee kinomaaa....is like nigeria.lol...usitubanieee tupe namba tuna harusiii zinakujaaa..ni mimi mama beyonce

  ReplyDelete
 4. kwa kweli tulipendeza hapana chezea sisi.si kwenye bridal shower wala si kwenye send off kote tumetokelezea ng'aring'ari.

  its me Chain Dyamwalle dada yake na Mkubwa Boss Chizenga

  ReplyDelete