AQDI YA FARHA & SABRI @ CUTCHI HALL!!!

AQDI YA FARHA & SABRI, WALIPENDEZA KWA SANA TU, PICHA HAZIONGOPI WADAU, HAWA NI KWELI WAMECHAGUANA EEH!!! 


    SWAGA ZA FARHA
NDOA IKIFUNGWA MSIKITI WA IQBADHI ILALA

SABRI AKIKABIDHIWA MKEWE
AKITIA SAHIHI YAKE KWENYE CHETI CHA NDOA
SABRI BAADA YA ARUSI


DUA BAADA YA NDOA
DECOR...!!

SABRI AKIOMBA DUA KABLA YA KMUFUNUA MKEWE
SABRI AKIMFUNUA MKEWE
CHUO

KINAMAMA WAKICHEZA QASWIDA KWA FURAHA!!


NYUSOUMMY & FADYA WAKIWA BA BIBI YAO, BI NURU
MAMA MZAZI WA FARHA, NA FADYA SOMO WA BI HARUSI

FARHA NA BABA YAKE MZAZI
FARHA NA NDUGU ZAKE

MA NURU NA KITINDA MIMBA WAKE UMMY


WAALIKWA UKUMBINI

TANISA, FADYA & SHUMU
SAIDA, FADYA & NANA-WENYE SARE ZAO ZA UKWEE'E
SAIDA KANYAU NA BINTI ZAKE

RED CARPET

Post a Comment

13 Comments

 1. masha allah biharusi kapendeza na waalikwa pia

  ReplyDelete
 2. All the best inshaallah. Ukatulie umsikize mumeo/ msikizane. Mfaane daima dawamu kwenye shida na raha Inshaallah.

  ReplyDelete
 3. Trolling construction or just fishing shallow bud lines generates fewer and much a whole lot walleyes.
  Preserve your your eyes peeled for a tastiest of you're bunch. Common watch for cataract relief is eighteen many. You have one specific stronger foundation, also ultimately have finer results. http://somalinow.net/groups/most-accept-apparent-several-colorways-of-one-particular-nike-air-utmost-95/

  my blog post ... air max 90

  ReplyDelete
 4. mwanamke kujisitiri,kumbe huu msemo una maana kubwa sana,ona watu walivyopendeza na walivyotokea kistaarabu,mbarikiwe sana ikiwezekana muendeleze mavazi hayo hayo kila siku(ingawa najua ni ngumu)

  ReplyDelete
 5. whr z red carpet here o its just a jumvi!!! bt they are ol gud

  ReplyDelete
 6. kweli wamechaguana mana sijui akizaliwa mtt jicho litakuaje mana wote wana macho mazuri

  ReplyDelete
 7. sijawahi ona jamani! eh! mpaka raha!

  ReplyDelete
 8. Mashallah mashallah jicho la hasad lisiwapate da Helen nataka contact za alompamba biharusi please

  ReplyDelete
 9. Alompamba bi harusi anaitwa mahtapi namba yake +255 762 555 598

  ReplyDelete
 10. jamani na hilo guo kapata wapi

  ReplyDelete
 11. mashallaah mashaalah, wamependeza sana tena sana, kujistiri raha jamani watu wanapendeza, wengine wanaona kukaa maziwa nje ndio kupendeza. wawaone waliopendeza bila ya kukaa maziwa nje

  ReplyDelete
 12. Ndoa ilipendeza sana bi na bwana harusi walipendeza wageni wahalikwa wote walipendeza kila la kheri kwenye maisha yenu ya ndoa

  ReplyDelete