CELLINE KITCHEN PARTY!!

VENUE:: URAFIKI SOCIAL HALL
BRIDE:: CELLINE
COLOUR:: RED & GOLD
MAKE-UP:: DAJA
MC:: COLUMBA - +255 715 394 885
DECORATION:: HENJEWELE

CELLINE KITCHEN ILIKUWA BOMBA, MAANA KULA NA KUNYWA, UMESHAWAHI KUONA SARE IKISHONWA HALL NZIMA NA WAKASEMA KIBANDIKO NI CHEKUNDU WOTE HAPANA CHEZEA KWELI MAMA HEKIMA NA SELINA KOKA MKU JUUUU!! ILIFANYIKA URAFIK SOCIAL HALL UBUNGO, WADAU NAJUA MKISIKIA URAFIKI SOCIAL HALL UNAFIKIRI LILE LA ZAMANI HAPANA FULL KIYOYOZI HAKUNA TOGAUTI NA DIAMOND VIP...., ZAMA NDANIKUONA MAMBO!!!

 MC
MC COLUMBA
ZAWADI
BURUDANI
NYOTA WA NJENJE, ALITOKEA KUWABURUDISHA WATU
  NYOTA AKIIMBA GEREE!!
 NYOTA ALIWASHTUAJE, KIJOTI KIJOTI JOTI SHTUA
 CAKE & CHAMPAGNE
CAKE
 
CELLINE AKIKABIDHIWA ZAWADI
 MAMA MLEZI, MAMA HEKIMA ALIMPA FULL SET YA CHUMBANI
 MAMA KOKA ALIMKABIDHI CELLINE VYOMBA VYA JIKONI
TUNZA
 MAMA HEKIMA AKITUNZWA
MRS. KOKA AKITUNZWA
 MAMA HEKIMA, NA KINAMAMA WAKIMTUNZA MAMA MZAA CHEMA
 CELLINE ALIWATUNZA MAMA ZAKE
 HAPA AKIMTUNZA MAMA MZAZI
 AKIMTUNZA MAMA HEKIMA
NYUSO
MAMA HEKIMA NA MAAZNAT & FRIENDS
HAPPY BAGHDELA & SHOSTITOS
RED CARPET
 

SWAGA
Post a Comment

7 Comments

 1. Kwa kweli hii kitchen party ilikuwa mwaaaaaa, 2likunywa na kula mpk 2kasaza ilichangamka mwanzo mwisho big up.

  ReplyDelete
 2. Ilikuwa full shangweeeeeeeeeeeeeeeeee.

  ReplyDelete
 3. picha nyingine hazifunguki mashughuli

  ReplyDelete
 4. Bi harusi alipendeza sn afu yuko natural big up celin kila la kheri katika maisha ya ndoa.

  ReplyDelete
 5. this mekup is awesome nimependa sn

  ReplyDelete
 6. daje umependeza mamy hilo guuu la bia........hahahahah inahusu...

  ReplyDelete
 7. wajasiriamali....... wakubwa hapa mujini nimewaona wakiongozwa na daje, maznat, betty,, maksi na bonge hahahahahah..safi sana keep it up.... ni mimi mdau wenu stress free 0713 301697

  ReplyDelete