FARHA KITCHEN PARTY!!! - RED CARPET, BURUDANI, NYUSO & BURUDANI!!

VENUE:: ISTANA
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO & ALJAZEERA TAARAB BAND
BRIDE:: FARHA
COLOUR:: YELLOW, PINK, BLUE, SILVER & GREEN APPLE
MAKE-UP:: GLAMBOXWEDDING
MC:: JAMILA KITMTIM
DECO:: MONICA MAKUNDI
BURUDANI
KIKUNDI CHA ALJAZEERA!!!
RUKIA RAMADHANI AKIWAPA RAHA!!!
WADAU KUTOKANA NA PICHA KUWA NYINGI NIMEANZA NA BURUDANI, NYUSO NA RED CARPET KAMA SEHEMU YA KWANZA NYINGINE ZAJA, ZAMA KUONA ZAIDI

KIKUNDI CHA ALJAZEERA
RUSHA ROHO NI PESA TU KUTUZA
FAIZA MAFISH AKITUPA RAHA
KILA MMOJA AKIOA STYLE YAKE YA KUCHEZA!!
FARHA AKICHEZA KWAITO YAKE
ISHA MASHAUZI AKIINGIA KWA SWAGA ZA UKWEE'E
ISHA MASHAUZI AKIRINDIMA
ISHA AKIRUSHA ROHO NA FARHA
NYUSO
VISHUNA WANGU EEH!!
MAMA MZAA CHEMA!
LUMELEZI FAMILY
SOMO WA UKWEE'E FADYA!!!
MWARI NA SOMO FADYA!
UPENDE WA BWANA ARUSI
RAYA & HASINA
FARHA NA MAMA MZAZI REHEMA
NANA KANYAU - I LOVE THE DRESS!!
MARIAM TWAHIR & KHADIJA
MARIAM MKWECHE N MWANAISHA MASANGA
MUZNE & BEAUTIFUL GIRLS
FAIZA KANYAU PENDEZA!!
SITU MWASI & SHOSTITO
FADYA N HER DAUGHTERS!!
WAHIDA
BAHIYA, FADYA & NURU
MARIAM & HER MUM FATMA SIMBA
MAMA WA DUBAI-MUZNE, MADINI HAPANA CHEZEYA
MAMA NA MWANA
NURU MWENE
FAIZA MAFISH-DESIGNER!!
ZUHURA SHABAAN
ZUHURA & SHOSTITO
JOHA KABOTOKA & MARIAM MKWECHE
DALILAH JAGAR-RIHANNA STYLE
SHARIFFA & SALAMA
FAUZIA, BAHIYA & SIZA 
RED CARPET
FARHA
FADYA
 
TANISA, SHUMU & FADYA
BIBIE LUMELEZI
WAHIDA
NURU,LEYLA & RUKIA (WIFI WA UKWEE'E)
JOHA & NURU-SHOSTITO, NGUO DESIGN BY JOHA
TANISA & ZUHURA
HELLEN-MAX DRESS DESIGN BY JOHA SIMBA
TATU LUMELEZI
NURU MWENE NA WAJUKUU
SHUMU GESANI
ZUHURA
MWAVITA
SALAMA KINGUI
JAMILA - MC
BAHIYA
MARIAM
SHARIFFA
JACK
NADIA
ALHANISA
HASINA MOO
RAYA
TANISA
NANA KANYAU
SWAGA


Post a Comment

8 Comments

 1. Jamanii da hellen mbona designer hajapewa sifa yake? Hajaadindikwa haya sehemu moja mmmmmhhhh! Kunaniiiiiii?????

  ReplyDelete
 2. Naomba nimjue DESIGNER WA NGUO YA BI HARUSI kwakweli anastahili sifa...hiyo nguo ni balaa Tupu ...anastahili sifa kwakweli aisee naomba tutajiwe

  ReplyDelete
 3. Mbona designer wa nguo hajatajwa mwanzo ulisema tutamjua designer tukae mkao wa kula ???ndo tuko kwenye huo mkao..maana Huyu designer kwakweli anatakiwa pongezi...Nina harusi ya mwanangu nifanyie mpango nimjue designer plz dada Hellen

  ReplyDelete
 4. Yani very good make up! naona tumeanza kuimprove jamani!!! yani beautiful!!!
  halafu jamani nimependa sana nguo ya Fadya! mash'allah! naomba nimjue designer au ni red made? harusi ya ukwee'e ila msosi vipi?

  ReplyDelete
 5. designer ametajwa juu kbsa na phone number yake

  ReplyDelete
 6. Jaman designer yupo juu..haijawahi tokea hata , nigeria... weraaaa weraaaaa

  ReplyDelete
 7. mashallah bi harusi kapendeza alompamba anahitajika sifa yake

  ReplyDelete
 8. mashallah bi harusi kapendeza alompamba anahitaji sifa zake

  ReplyDelete