FARHA KITCHEN PARTY!!!


VENUE:: ISTANA
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO & ALJAZEERA TAARAB BAND
BRIDE:: FARHA
COLOUR:: YELLOW, PINK, BLUE, SILVER & GREEN APPLE
MAKE-UP:: GLAMBOXWEDDING
MC:: JAMILA KITMTIM
DECORATION:: MONICA
DESIGNER::BAHIYA LUMELEZI - +255713233362
CAKE::MONICA 
STILL PICTURE & VIDEO:: JOHN's PHOTO
FARHA AKIINGIA UKUMBINI NA WAPAMBE WAKE, FARHA KAPENDEZA SANA, KUANZIA MAKEUP MPAKA NGUO YAKE!!!!

MAKEUP YA FARHA NI GLAMBOWEDDING!!
AMENOGAJE???
PENDEZA SANA FARHA
KILA KONA PICHA ZAPENDEZA
DESIGNER WA NGUO YA FARHA NI BAHIYA LUMELEZI
MBURUZO KUANZIA JUU
SWAGA ZA FARHA
DESIGNER WA NGUO ZA BRAIDMAIDS NI FAIZA MAFISH
KAMA UMEPENDA MPIGIE SIMU
MC
MC NI YULE YULE, JAMILA KITMTIM WA MUJINI, HAPANA CHEZEYA YUKO JUU
MWARI AKIFICHULIWA
DALILAH JAGAR AKIMFICHUA MWARI
SALAMA MAHSEN KATIKA FICHUA MWARI
ALHANISA NAYE
JOHA SIMBA DESIGNER AKIMFICHUA MWARI
 
FADYA AKIWA NA MWARI WAKE BAADA YA KUFICHULIWA
DECO...!!
CAKE & CHAMPAGNE 
FARHA AKIKATA CAKE
FARHA ANAKATA CAKE YAKE!!
AKIMLISHA MAMA YAKE MZAZI
MAMA NAYE AKAMLISHA MWANAYE
FARHA AKIMLISHA MAMA YAKE NURU MWENE
FARHA AKIPELEKA KIPANDE CHA CAKE UPANDE WA MUMEWE MTARAJIWA
MAMA MKWE AKIPOKEA KEKI
MASHANGAZI WAKIPATA FUNGU LAO
AKIMLISHA SOMO YAKE FADYA, KAMA SHUKRAN
AKAMPATIA NA KIPANDE CHA CAKE
FARHA ALIFUNGUA CHAMPAGNE MWENYEWE
LETS CHEEERS FOR FARHA
SOMO YUKO MAKINI SANA, NAKULETEAMWARI MAMBO UNAYAWEZA
ZAWADI
VYOMBO VYA JIKONI
PICHA YA UKUTANI
SOFA SET, COFFEE TABLE & TV SHOWCASE
DINNING TABLE
SET YA CHUMBANI ILIYOKAMILIKA
KABATI LA VYOMBO
FARHA AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE
MAMA MZAZI ALIANZA KUMKABIDHI FARHA SET YA CHUMBANI
AKAMKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
 SOMO FADYA AKIENDA MPA MWARI ZAWADI ZAKE, FADYA ALISINDIKIZWA NA SOMO YAKE, HESHIMA KWA SOMO EEEEH!!
FADYA NA MWARI, SOFA ZA UKWEE'E SOMO UKO JUUU!!
MAMA MDOGO AKIMKABIDHI DINNING TABLE 
SALMA MAHSEN AKIKABIDHI ZAWADI YAKE
PAPO HAPO AKAMTUNZA MAMA MZAA CHEMA
NURU MWENE, FATMA ADAM WAKIENDA KABIDHI ZAWADI YAO, ALISINDIKIZWA NA WAPENZI WAO
WALIMKABIDHI FARHA GAS COOKER
MASHANGAZI WAKIKABIDHI WATER DISPENSER 
UPANDE WA MUME MTARAJIWA WAKIPELEKA ZAWADI

BAHIYA LUMELEZI AKIPELEKA ZAWADI YAKE
ILIKUWA NI SUPRISE!! KWANI HAIKUPANGWA NA ZAWADI NYINGINE
FRIDGE MPYA DOUBLE DOOR, UKO JUUU!!!
REHEMA, MAMA YAKE FARHA AKIMTUNZA SOMO!!! MAHELA NA SET YA GLASS
UNACHEZEAJE PESA LEO SOMO...!!
SOMO YAKE FADYA AKIMTUNZA MWARI, WANASEMA MWARI KAKUA EEH
FATMAH ADAM AKIMTUNZA FADYA
FADYA ALITUNZWAJE...!!!
MAMA MZAZI WA FADYA AKIMTUNZA MWANAYE
JOHA KABOTOKA AKITUNZA
TANISA MWAIBULA AKIMTUNZA NDUGU YAKE
MUZNE, MAMA YA DUBAI, AKIMTUNZA FADYA DIRHAM
NURU MWENE AKIWASHUKURU WOOTE......!!!!
Post a Comment

1 Comments

  1. Mashallah wote mmependeza sana.Bi harusi mashallah .Please naomba nr ya simu wa aliyempaka make up.Maana nimependa kazi yake.Tafadhali sana.

    ReplyDelete