MAAZNAT BRIDAL CARE-10 YEAR ANNIVERSARY YAFANA!!!

 MAMA BILAL AKIZINDUA MFUKO

 HUU NDIO MFUKO WA WATOTO YATIMA
 WAALIKWA WAKICHANGA PESA KWA AJILI YA WATOTO YATIMA
 HAPA MAAZNAT...!!!

MAMA BILAL AKIONGEA
 BURUDANI


 T.H.T
 MZEE YUSUF
 KUNDI LA JAHAZI TAARAB

BAHATI BUKUKU
 MAAZNAT AKICHEZA NA RAFIKI YAKE MPENZI
 HAPPIEST WOMAN
WOOH! I LOVE THIS PICTURE!!!
CAKE N CHAMPAGNIE

WALIKATA KEKI KWA PAMOJA
MAMA ASHA BILAL ALIMLISHA KEKI MAAZNAT KAMA HONGERA MAAZNAT PAMOJA NA WAFANYAKAZI WAKE
 MAAZNAT AKIPONGEZWA NA MAMA YAKENYUSOWAKE ZA BALOZI NCHI MBALIMBALI
 JOAKINA
 MAMA SHOSE
 MGENI RASMI MAMA BILAL KATI NI MAMA MZAZI WA MAAZNAT


Post a Comment

6 Comments

 1. Superrrrrrrrr

  ReplyDelete
 2. DADA MASHUGHULI HUYO SIO MAMA SHOSE NI MAMA GIGI

  ReplyDelete
 3. Dada yangu huyo uliyemuandika Mama Shose sio ni Mwanaidi Maajar mdogo wake Mama Shose, Mama Shose ni mkubwa anaitwa Hawa

  ReplyDelete
 4. Wooh wanawake walipendeza sana an kuchangamka thanks Maznat for giving us such an enjoyable outing. Congratulations on your achievement. big up!

  ReplyDelete
 5. mashughuli unakuja juu, hongera dada mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa blog yako na 8020 fashion, lkn ninavyokuuna kila siku unabadilika unakuja kivingine kabisa, picha nzuri, quality.

  ReplyDelete
 6. Shose Miss Tanzania? Au yule alionekana kwa TB Joshua

  ReplyDelete