MY MAKE-UP WITH ASILA BRIDES!!!!!!

JAMANI SIKUWEZA KUAMINI DUH!!, HAYA SASA WADAU KULIKO BI HARUSI WAKO ACHENI ILIKUWA NI SIMPLE MAKE ALMOST 15 MINUTES ONLY

Make up artist and hairstyle, Bridal Beauty services.

Location: Magomeni Mikumi

Contact/Mawasiliano: +255717616852


  CUTE ME!Post a Comment

8 Comments

 1. Perfect make up...iko simple and umependezaa sana

  ReplyDelete
 2. nice make up and you still looks original, good job Asila Brides, haya ndo mageuzi tunayoyataka Tanzania not too much on the make up

  ReplyDelete
 3. That is the makeup bwana. Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
  God job artist. Kapendeza

  ReplyDelete
 4. pendezaaaaaa ming ming mashaalah.somo linaeleweka hata hiyo maulid waalikwa wametendea hak picha zimenoga sanaaaaaa.good job mashughuli

  ReplyDelete
 5. shantalle tahiyaMay 24, 2013 at 11:59 AM

  Bff umenogareee sana tu kama sio wewe mashallah nakuvunjia vidole.tutapatembelea na kupafikia

  ReplyDelete
 6. LAKINI UNAONEKA SO BEAUTIFUL HATA WITHOUT MAKE UP, YAANI UPO NATURAL! MAKE UP IWEPO ISIWEPO BADO KICHUNA!

  ReplyDelete
 7. You looks cute my dear, hii sasa ndiyo makeup siyo makeup za wabongo wanapaka utafikiri sanamu. Jamani wahusika na wanaowapamba mabiharusi wetu oneni mfano huo kutoka bridal beauty services.

  ReplyDelete
 8. Perfektes Make Up, ganz toll :-)

  ReplyDelete