NEW ARRIVAL @ TRUDYS INTIMATE APPAREL !!!

CAMISOLE BRA TOP, ZIKO RANGI TOFAUTI
 BOXER SHORTS, CHAGUA NI LAKO UNATAKA YA AINA GANI, TRUDY'S WAMESHUSHA MZIGO WA KUTOSHA, QUALITY NI NAMBA MOJA KWAO!! ZAMA NDANI UJIONEE VITU

WATEMBELEE KWENYE BLOG YAO TRUDYSINTAMATEAPPAREL BLOGSPOT PIA WANA FACEBOOK PAGE http://www.facebook.com/TrudysIntimateApparel
MAWASILIANO::  +255 653 005 544
WANAPATIKANA: MWENGE NYUMA YA JENGO LA JAMIREX KABLA HUJAFIKA TAMAL HOTEL

G-STRING, ZA KILA AINA

PUSH UP BRA!!!!
 SOTE TUNAWAJUA TRUDY'S KWA QUALITY YA NGUO ZAO
 
3PCS COTTON VESTPost a Comment

3 Comments

  1. Shosti wana vitu vizuri, wana duka lingine huku karibu na mjini?

    ReplyDelete
  2. vitu vya ukweli jamani, duka lingine liko karibu na mjini posta o mjini wapi?

    ReplyDelete
  3. Duka lipo wapi tafadhali na bei Zao zpoje? Vest za kiume na chupi za kike.

    ReplyDelete