NEW IN @ CLASSIC STYLE BOUTIQUE!!!!

 KAMA KAWAIDA MZIGO MPYA UNAINGIA KILA BAADA SIKU 3 AU 4, BOFYA NDANI UJIONEE HANDBAGS NZURI QUALITY & UNIQUE, SISI NDIO WAKALI WA SIMPLE SHOES!!!
DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 758 266 701
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA
MTEJA TOKA MKOANI AMETUMIWA MZIGO WAKE JANA KUPITIA GREENSTAR BUS


MATCH HAND & SIMPLE SHOES
 HII INAPATIKANA KATIKA RANGI HIZO HAPO CHINI
WALLET
 ZARA SHOES

Post a Comment

5 Comments

 1. wekeni bei basi wa mkoani tujue kabisa

  ReplyDelete
 2. Duuh,mi naomba kujua bei ya begi la brown zote mbili,pochi nyekundu ndogo,green.

  ReplyDelete
 3. weka bei jamani

  ReplyDelete
 4. ni vizuri kujuwa bei ili kama unataka kuagiza unajipanga, so bei plsssssssss

  ReplyDelete
 5. Si mmewekewa no mpige jama,akili nzitoooooo!

  ReplyDelete