ONJA:: AQDI YA FARHA & SABRI!!!!!!

 ABDALLAH AKIMSOMEA DUA MKEWE FARHA!!!!
 FARHA AKIINGIA UKUMBINI, SOMO FADYA AKIMSINDIKIZA
 SOMO NA MWARI, FADYA UKO JUUUUU!! UMEYAWEZA
 FARHA
MAULID YA NDOA YA FARHA & SABRI, WATU PENDEZA SANA KWA DISHDASH ZA UKWEE'E ZAMA NDANI UOJNE PICHA KIDUCHU, NYINGI ZAJA...!!!!!!!!!!

 WANAFUNZI WA CHUO!!
SABRI 
KANYAU's FAMILY HAPANA CHEZEA!!!
 FAMILY
FAIZA, BAHIYA NA MWANAYE TANISA!!

 MAMA NA MWANA
 NURU MWENE
TANISA & FAIZA, BEST FRIEND FOREVER, I REALLY LIKE THEM YOU KNOW WHY? WANAJUA KWENDA NA DRESS CODE!!
 SALMA MAHSEN, REHEMA SONGAMBELE MAMA YAKE FARHA & NURU MWENE
 SAIDA KANYAU, NANA KANYAU & FADYA SARE NADHIFU KWA WATU MAALUM...!!
MIE HUYO NA MWANANGU, TUMEFANANA EEH TUNAAZA DIET

KAA MKAO ULE ULE WA PICHA KIBAO...!!


Post a Comment

13 Comments

 1. watu wamependeza mashaallah

  ReplyDelete
 2. ilikuwa kiboko mumy

  ReplyDelete
 3. masha Allah mmependezaje bi harusi na bwana harusi simemi

  ReplyDelete
 4. Mashaallah BF kapendeza.umemfunika bwana

  ReplyDelete
 5. pendezaaaaaa ming ming.da hellen kwani huyu make up artist wa kanyau s farmily ni nani maana hao watoto mashallah nawafwatiliaga kila shughli hawakoseagi hapo uson na dress code ni balaaaaaaaa haswa mama yao bi.saida.fikisha salaaam nasubir majibu

  ReplyDelete
 6. bi harusi amesoma st.mary's eeeh?

  ReplyDelete
  Replies
  1. mashaaalah kanyau family mmetisher nmependa sare ya aunty sayda and nana mama na mwana hao mashaalah umependeza shoxt bi haruc mi ndo cna neno hapokapendeza jamani mashaaaaaaaalah

   Delete
  2. Asante sana...
   From
   Kanyauz family

   Delete
 7. nimeipenda,make up ya tanisa na faiza.kanyau family,make up mwaaa.na somonimependa jinsi alivyofunga kilemba chake

  ReplyDelete
 8. Mama mashughuli umependeza mno,nguo yako iko bomba,Yaani imekutoa ile mbaya rangi zako na za nguo vimeendana,,na huyo unasema ni mwanao,ni kweli?maana mmefanana sana
  Shukran kwa kazi nzuri za kutuhabarisha habari na picha pia
  Ahlam London

  ReplyDelete
 9. mashallah wamependeza sana jaman....

  ReplyDelete
 10. kanyau family,yani mlijipanga kwa kweli...safi sana harusi ilikuwa bombaaaa....

  ReplyDelete
 11. Kanyau family ndo habari ya mujini

  ReplyDelete