ONJA::: CELLINE KITCHEN PARTY @ URAFIKI SOCIAL HALL!!

 BI HARUSI MTARAJIWA CELLINE BLACK IS BEAUTY EEH!! MAKEUP WANASEMA MWAOO!!SWAGA VIBANDIKO VYEKUNDU!!!, ZAMA NDANI KUONJA UTAMU......!!!!

 CAKE YA CELINNE MFANO WA JIKO NA SUFURIA
 CELLINE AKIMLISHA KEKI MAMA MLEZI, MAMA HEKIMA
 
 ILIKUWA NA KUNYWA, KULA NA KUCHEZA TU!!!
NYUSO
 NYUSO MPYA KABISA BLOGUNI
 WAPAMBE WA CELLINE
 RED CARPET
 MAMA HEKIMA & MAMA SELINA KOKA, MKE WA MBUNGE KIBAHA!!
 WATU PENDEZA KWA SANA!!!
MWAJUMA SARAHANI & SHOSTITOS!!

KAA MKAO ULE ULE MAMBO MANZURI HAYATAKI HARAKA!!!

Post a Comment

1 Comments

  1. biharusi uko poa ila huo wanja wa mdomo umeharibu lipstik kuna pencel za lipstik zake zipo ndio mkaona wenzenu zinawatulia

    ReplyDelete