ONJA:: KITCHEN PARTY YA AZIZA @ MWIKA HALL SINZA

 AZIZA AKIWA NYUMBANI KWA SOMO YAKE SAIDA KANYAU, NGUO YAKE DESIGN BY BAHIYA LUMELEZI, WATU WALIKUWA WANSHANGAA NGUO KISA INA STONE, BAHIYA ANASEMA KAZI KUCHEZA NA STONE!!! 
NGUO YA SAIDA KANYAU DESIGN BY HALIMA KAMUSI MAWASILIANO HAYO HAPO

SIMU +255 715 555 525
WANAPATIKANA:: KINONDONI BLOCK 41 PLOT NO.; 35 MAJI STREET (MTAA ZILIZOKO OFISI ZA DAWASO, NYUMA YA JENGO LA AIRTEL UTAONA SALOON YA HK's IMPRESSION.
KUONA KAZI ZA HALIMA ZAIDI ZAMA  HUMU

SAIDA WA KANYAU AKITUZA KAMA KAWAIDA YAKE YEYE UGUSWA SANA NA NYIMBO!!!
HAPA ISHA ALITUNZWA SANA UNAJUA PART GANI UKIMJUA MCHAWI BASI UNAWANGA NAYE......!!!!!!
NYUSO
NANA KANYAU MAX DRESS DESIGN BY HALIMA KAMUSI


Post a Comment

17 Comments

 1. Bado ya Ijumaa hii, Fadya mwaka huu mumeo inabidi awe mpole tu!!

  ReplyDelete
 2. Nguo ya bi harusi ni nzuri sana.Good job designer,ubunifu wa hali ya juu using stones on a simple fabric. Salma Gekpe Nig.

  ReplyDelete
 3. this is fabulous !!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 4. Honestly sijapenda nguo ya bi harusi

  ReplyDelete
  Replies
  1. DAH! Wewe utakuwa mchawiiii!

   Delete
  2. ANAWANGA MCHANA KWEUPEEEEEEEEEEEEEEEE

   Delete
 5. Nashukuru somo la make up limeanza kueleweka, Kanyau's mko juu nimependa sare yenu imenoga balaa. bi harusi mtarajiwa mash'allah umependeza sana mwenyezimungu akakutulize katika ndoa yako!

  ReplyDelete
 6. Somo nimempenda bure. Aziz alipendeza sana and kitchen party iliandaliwa kwakweli mlijitayarisha haswa. Kumbe mie kachuna dah nimejiona nimejikubali.

  ReplyDelete
 7. Pendeza sana bi harusi na wengineo big up kwa designer Halima Kamusi

  ReplyDelete
 8. Saida Kanyau naomba huo mkufu mie nipate hela ya mtaji mweznio,aaah watu wana hela mji huu..ukisema una njaa jisemee mwenyewe

  ReplyDelete
 9. We ulosema hujapenda nguo ya biharusi kaa chini design yako tuione, mbona huna hata 1 ilowahi kuwekwa kwenye blog? Sum people should learn how 2 appriciate sio mpaka kazi nzuri mnaponda ili mradi uongee tu. Get a life

  ReplyDelete
 10. Manshaallah,bi harusi pendeza sana,pia Manshaallah waalikwa walipendeza sana na wote walijitahidi kuvaa sare hii nayo ilifanya ipendeze zaid,kila mtu na mshono wake,somo juu!kila la kheri mdogo wetu..Naona strength of tha woman mnawakilisha kama kawa!pendeza wote..

  ReplyDelete
 11. Kanyaus manitisha sanaaa,nawakubali mwanzo mwisho

  ReplyDelete
 12. Kwakweli sio Kama naandika haya maneno kumpaisha lakini saida Kanyau nampenda kutoka moyoni ,Huyu dada pamoja na kuchukiwa Sanaa lakini ni Mtu mmoja mwenye moyo wa pekee!endelea kutenda wema dadangu utalipwa na mungu binadam hawatoacha kuongea

  ReplyDelete
 13. Twende mbele turudi nyuma jamani SAIDA KANYAU anawakalisha vibaya sanaaaaaaaaaaaa,mkatae mkubali saida ndo habari ya mujini

  ReplyDelete
 14. Samahani kuuliza sio ujinga huyo mtoto wa Kanyau wa kwanza amenunua wapi hivo viatu vyake?please Kama unaona this comment get back to me.i love them

  ReplyDelete
 15. Viatu alinunua china lakini dukani kwa Saida vipo,

  ReplyDelete