ONJA:: KITCHEN PARTY YA FARHA @ ISTANA!!

 NGUO BEGA MOJA MBURUZO, JE UNAMJUA DESIGNER...KAA MKAO WA PICHA ZAIDI MAMBO YALINOGA KWA SANA!!!
MAKEUP N HAIRSTYLE BY GLAM BOX
FARHA NA WAPAMBE WAKE!!!
 
 ISHA MASHAUZI AKIWARUSHA WAALIKWA!! SI UNAJUA SWAGA ZAKE!!
 ISHA AKIWARUSHA!!!!
 FAIZA MAFISH AKITUPA RAHA, JE WAJUA PIA NI DESIGNER, SUBIRI UJUE MAMBO YAKE!!!

NYUSO
 FARHA NA FAMILIA YAKE!! WAMENOGA EEH RANGI ZA MVUTO
 BEAUTIFUL GIRLS
 NURU MWENE NA WAPENZI WAKE

 FARHA NA MAMA YAKE MZAZI
NURU MWENE, JOHA SIMBA, FADYA & FATMA SIMBA

MKAO ULE ULE WA PICHA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments