PRE-WEDDING PICTURES FARHA & SABRI!!!!

WOW LOVELY COUPLE!!!
 
WEDDING RECEPTION 25TH MAY 2013!!
CUTE WIFE TO BE!!!!
HANDSOME HUSBAND TO BE!!!
PICTURES BY JOHN's PHOTO


Post a Comment

11 Comments

 1. Anty sorry lakini hizi sio Pre-wedding pictures pre-wedding maana yake ni kwamba hawaja owana wanachukua pictures before getting married lakini hawa washaowana tayari kwahiyo haziwezi kuwa katika category ya pre-wedding ila mashallah wamependeza Allah bariki ndoa yao Inshallah.

  ReplyDelete
 2. Huyu ni abdallah kijeba??

  ReplyDelete
 3. Ndoa yao inafungwa kesho, sasa wewe kama unajua zaidi ni mtu wa familia maybe walifunga ndoa ya siri upaswi kuongea hapa najua nia yako ni kunishushua mie mashuguli but nilichoweka nina uhakika nacho asilimia 100%

  ReplyDelete
 4. Umejibu vizuri da hellen,watu wengine nuksi kweli kweli kujifanya wao ndio wajua kila kitu

  ReplyDelete
 5. Chezea mashughuli weweee utalala njeee

  ReplyDelete
  Replies
  1. hata kama wamefunga ndoa ya siri kwani kaambiwa atangaze kwa kupiga upatu? huyu anaonekana karoho kana muuma, mama rizki ya mwenzio usiilalie mlango wazi.wamependeza,wanavutia na mashallah Muumba aliwaumba Siku ya ijumaa wakati anapumzika....kaumba taratiiibu hakua ana haraka. mashughulii oyeeeeeeeeeeeeeeeee , nakupenda sana,twasubiri picha za reception bibi, lete nyingi mama.

   Delete
 6. Nc couple ever in ilala,god bless u gyz,mashughuli u do greit job

  ReplyDelete
 7. Wameoana we ndo ulowaozesha? Mxeeew ovyoooo

  ReplyDelete
 8. Hellen mpaka ameandika hicho kitu ni kwamba amepewa maelekezo na wanafamilia na amefanya kazi yake kama maagizo alopewa, kuoana kutooana yu sio kazi yake, yani mijitu kweli nuksiiii

  ReplyDelete
 9. Nanyie mashankupe mmezidi awaonee wivu kisa nini? Kma kakosea ndio wivu na nuksi? Waswahili meezidi kila kitu mnaweka mengine juu yake labda alivoona Pete yake akadhania washaowana sasa hellen kamuelewesha nyie kanuka mikojo mnamshambulia dada wa watu hamuoni haya? Watu wazima ovyooooo.

  ReplyDelete
 10. Am happy 4 ha!!

  ReplyDelete