REHEMA KILUVIA AMFANYIA SINGO SHOSTITO WAKE!!!!!

DECORATION::REHEMA KILUVIA
ENTERTAINMENT ::KIBAO KATA & RUSHA ROHO
MC:: DALILAH JAGAR
HAPANA CHEZEYA REHEMA, MPAKA MAMBO YA SHISHA YALIKUWEPO HIZO NI RAHA TU.....!!!, ZAMA NDANI UONE MAMBO YA MUJINI...!!!

 KIBAO KATA KILIWACHEZESHA HATARI, HAPANA CHEZEYA HAMAD...!!!
WATU WALIKUWA WANABOGOA HATARI...!!
NYUSO
 REHEMA & SHOSTI WAKE WAHIDA
 FATMA, TAHIYA & AMINA
 MOO CHAKA, HAPANA CHEZEYA
MASHOSTITOS
 BLAAA TUPU...!!! MZUKA UKIPANDA
 LULU KILUVIA NA SHOSTITO
TUNZA
HAPA ILIMUHUSU MUANDAAJI WA SHUGHULI TU MRS. MWAKICHUI
 REHEMA AKIWA TAYARI KUFUTWA JASHO ANAONAJE AIBU!!!
 LULU AKIMFUTA JASHO NDUGU YAKE, SISTERS FOREVER
CHAKULA
RED CARPET
RAHMA TALL, A.K.A MAMA KIJACHO PENDEZA EEH!!
SWAGA


Post a Comment

11 Comments

 1. Jamani mbona hizo make up kituko?si bora mtu upake poda ya kawaida tu kuliko kuvamia makeup za watu weupe?too much...!!!

  ReplyDelete
 2. Da Hellen nywele zimekupendezaaa, shughuli ilikuwa baraaaaa mwaga razi kwa kwenda mbereeee

  ReplyDelete
 3. Muhusika ni nani hapo mbona hatumuoni da helen au basi tu walitamani shughuli

  ReplyDelete
 4. aliyefanyiwa singo hakuja ukumbini?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Aliwakilishwa na muuandaaji hahahahahahahahahaaaa

   Delete
  2. Shuhuli bomba nimependa rangi za madera. Na mapambo kibaokata siku izi kamakitchenparty si mchezooo

   Delete
 5. Hii kiboko ya bila muhusika,hellen unawekaga tamaa mbele jaribu kuipendezesha blog basi,sasa hii nini

  ReplyDelete
 6. kwa kweli hizo makeup ni zero

  ReplyDelete
 7. Mnaovaa nguo za lace muwe mnavaa bra black jama

  ReplyDelete
 8. vipi dada helen mwari mbona hatujamuona?

  ReplyDelete
 9. mwali kakatazwa na mumewe kuonekanaaaa habari ndo iyo

  ReplyDelete