SABRI & FARHA RECEPTION WEDDING!!!!

BRIDE      ::FARHA FEREJI
GROOM   :: SABRI ABDALLAH SHARIF
VENUE     :: JK HALL LAMADA
COLOUR  :: RED & WHITE
HII NDIO SHUGHULI YA MWISHO, TAKRIBAN WIKI SASA TUALIPOANZA SHEREHE ZA KUOLEWA KWA FARHA NA NYINGINEZO AMBAZO HATUJAZITOA HAPA BLOGUNI, INGIA NDANI UONE MAMBO YALIVYOJIRI KWENYE RECEPTION YAO

FARHA & SABRI
MR & MRS ABDALLAH
 WAKIVISHANA PETE
CHAMPAGNE 
 FARHA NA SABRI AKIWA NA BABA ZAKE PAMOJA NA MAMA YAKE
 SOMO FADYA AKIMPA HONGERA MWARI
TATTI NAYE AKIMPA HONGERA DADA YAKE!
FARHA AKIMPA KEKI MAMA MKWE WAKE
FARHA AKIMPA KEKI BABA YAKE MZAZI AMBAYE ALIPOKEA FATMA GESANI
SABRI AKIMPA KEKI MKWE WAKE 

MAARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
SOMO FADYA NAYE AKISNDIKIZA
SABRI AKICHEZA NA FATMA
OUR NEXT BRIDE NI TANISA UMEMUONA KASHIKA UA KALIDAKA YEYE!!
NYUSOUMMY, FADYA, SHUMU & WIFI ZAO WA UKWEE;E
FADYA & MUZNE MAMA YA DUBAI
FAIZA, SABRI & SHEMSA HASSANOL
FAIZA KANYAU, FARHA & FADYA
SHEMSA HASSANOL & FARHA
TANISA & FARHA SISTERS!!
MAARUSI WAKIWA NA BABA NA MAMA 
MAMA YA DUBAI NA WATOTO WAKE LOL
RED CARPET
 JE UNATAKA BANNER KAMA HII SIKU YA KITCHEN PARTY, WEDDING RECEPTION AU SENDOFF? TUNADESIGN BANNER TOFAUTI KWA SIKU 2 TU  PIGA SIMU NAMBA
+255 686 426 100
FADYA FEREJI NGUO FROM AMINA DESIGN


FAUZI BENBELA

UMMY
SHUMU
JOHA SIMBA Post a Comment

7 Comments

 1. Mashaallah c mchezooo wamependeeeeeeeeeezaaa hapana chezea yani! Bi harusi kapendeza sanaa tena sana yani aliyompamba yuko juuuu tena juuu. Zaidi yani mashllh kajua kumpangilia kuanzia hairstly yake makeup mpaka nguo yake nahtaji namba ya simu yake. Bila kuncheleweshea kama inawezekana hata sahv

  ReplyDelete
 2. Mashallah wamependeza ila alompamba bi harusi hajamtendea haki kampaka foundation ambayo sio rangi yake kidogo nyeupe. Angempaka kama ya somo wake kwani rangi sawa.

  ReplyDelete
 3. Mashallah wamependeza ila alompamba bi harusi hajamtendea haki kampaka foundation ambayo sio rangi yake kidogo nyeupe. Angempaka kama ya somo wake kwani rangi sawa.

  ReplyDelete
 4. nimependa biharusi kapendeza ila waalikwa wengi nyuso wamezifanyia kazi hivi ndio tunapenda wewe km hivo

  ReplyDelete
 5. wamependeza,bt biharusi makep imezidi sio kama kwenye kitchen ambapo alionekana natural zaidi.pia bwana harusi suti kubwa so haijakaa vizuri kama hiyo alopigia picha za banner

  ReplyDelete
 6. Bi harusi kapendeza sana yani make up yake iko different Mashallah kaakaa kama barbie. Na kuwa foundation kidigo nyeupe haina neno sawa kwa sababu ukipaka make up Lazma ubadikike kidogo u have to be one shade lighter than ur skin tone. If u gonna be excatly same tone of ur skin then there is no change.She looks amazing Mashallah. Every thing was perfect. Who ever did the make up it fantastic keep it up

  ReplyDelete
 7. Mashallah receiption bomba nimefurahi kuiona hii familia iko pamoja namkumbuka sana Kaka yao marehemu Jumanne Fereji na pia dada yao Athiye - kweli imenikumbusha mbali sana hongereni sana na nawatakia maisha marefu mpate watoto wa kike na wa kiume.

  ReplyDelete