SINGO YA FARHA @ ILALA BUNGONI!!!

MWAMVITA SOMO MSAIDIZI AKIMUINGIZA MWARI
MWARI HAKUFUNULIWA MPAKA ALIPOFICHULIWA UKO BIBIE, SINGO KAMA SINGO INAPASWA KUFANYIKA NYUMBANI, MWARI ANASINGWA NA NGOMA YA KIBAO KATA, NA WATU WENGINE NJE AU AUANI WANACHEZA NGOMA.....!! HAYO SI YANGU NIMEULIZA KWA MANYAKANGA.....!! NIMEPENDA SANA IKIFANYIKA INAVYOTAKIWA ZAMA NDANI KUONA SINGO YA FARHA

FARHA SAMBAMBA NA SOMO YAKE FADYA
SHUMU GESSAN UKO JUU MAMBO YA DOLLAR
BAHIYA AKITUZA
WAALLIKWA WAKITUZA KUMFICHUA MWARI
FARHA BI HARUSI MTARAJIWA
FARHA AKIWA NA SOMO YAKE FADYA
NGUO YA FARHA DESIGN BY BAHIYA LUMELEZI - +255 713 233 362
MWARI AKITUONYESHA KIUNO!!!
SANDUKU SASAMBUA
FADYA KAMA SOMO ALIMTAYARISHIA MWARI WAKE SANDUKU LIMEKAMILIKA, NA SANDUKU SIO ILIMRADI KUJAZ AMINGUO TU, LAZIMA KILA KITU KINAPATIKANA


 EVENING DRESS ZA UKWEE'E HAPANA CHEZEYA FADYA 
 
 HANDBAG, UMEMUONA MK??

 CASUAL WEAR
   
CHETEZO, UDI KWA AJILI YA KUJIFUKIZA
 
 MASHUKA NA KHANGA
 MWISHO KABISA SOMO ALIKABIDHI MSWALA NA MASAAFU, UMEONA NDIO MAANA NASEMA SANDUKU LAZIMA LIKAMILIKE
CHEZA
SHOSTITO TAHIYA RUSHA ROHO MAMA KWA SANA..!!
WATU WAKIRUSHA ROHO...!!!
NYUSO
MUZNE & FRIEND
 FAIZA, TANISA & WAHIDA

 FAIZA KANYAU & FARHA
 MWAVITA & ZUHURA
  FAIZA & TANISA ( MAMA NA MWANA)
 MAUNDA PENDEZA SANA
 SOPHIA CUTE EEH!!
 AMINA AMOUR!!
 WAHIDA
 
FADYA & SHUMU GESSAN
 
 RAYA & HASINA
 FATMA GESSAN
 SOMO NA MWARI
 TWAIBA
 BAHIYA NA MUKE YA ATHUMAN
 SHUMU, DALILAH & BAHIYA
 SALMA MAHNSEN & AL ANISA
 TANISA & SHOSTITOS
TANISA, FARHA & FADYA (SISTERS)
MARIAM WHITE, MWAVITA & SHOSTI
TANISA & TAHIYA
TATU LUMELEZI, BI MDANGA & HAWENA
LUMELEZI FAMILY
MARIAM BEST, HAWENA 

Post a Comment

3 Comments

 1. jamaniii jamaniii,tafuteni make-up;,zinazoandana na sura zenuu?lol..mnatutia aibu ,sura zenu ziko kama zimemwagiwa ungaa? anyway bi haruc kapendezaa..na mwenyewe mzuri mashallah

  ReplyDelete
  Replies
  1. yaani ni hatareeee watu wamependeza ila make up mh balaaa

   Delete
 2. Jamani Kila mwenye kuamua na make up yake muacheni hashuo kuingiliana za nini????kwani umepakwa wewe?its a free country so they can paka watever they want..in a good way stay d f***k out of it!
  Singo pambe
  Somo pambe
  Mwari pambe
  Tanisa na faiza kanyau nimewapenda..zidini kupendana watoto wazuri

  ReplyDelete