UZINDUZI WA VITU VYA KHADIJA LTD - BONGO BLACK BALL (DINNER & DANCE PARTY)!!!!

VENUE:: MLIMANI CITY
DATE:: 26TH APRIL, 2013
DECOR:: PACO DECOR
MC OF THE EVENT EVANS BUKUKU
DECOR....!!!
MBUNIFU WA MAVAZI KHADIJA MWANAMBOKA KAFUNGUA KAMPUNI YA EVENT PLANNING KWAAJILI YA   MAKAMPUNI,MASHIRIKA NA WATU BINAFSI, KHADIJA ANAUZOEFU  WA KUANDAA EVENTS KUBWA ZA WATU WENGI.. AMBAZO AMEWAHI KUANDAA NI TANZANIA RED RIBBON FASHION GALA,8020 FASHIONS ANNIVERSARY YA MIAKA MITANO,
WOMEN'S CELEBRATION NA UFUNGUZI WA DUKA LA MIMI'S COLLECTION.
ALIZINDUA KAMPUNI YAKE KWA PARTY YA KUSHEREHEKEA MUZIKI WA KITANZANIA -BONGO BLACK BALL TAREHE 26 APRIL 2013 KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY

KWA MAWASILIANO:

KHADIJA MWANAMBOKA
+255755 551077-0713 551077
EMAIL-khadija@vituvyakhadija.com
TWITTER-@khadijamboka
WEB-www.vituvyakhadija.com
ZAMA NDANI KUONA PICHA ZA SHEREHE..!!

DECORATION ILIFANYWA NA PACO DECOR, KAMA KAWAIDA YAKE KAZI NZURI!!!
BAR DESIGN BY PACO
PACO PIA ANATOA HUDMA YA VINYWAJI
BURUDANI
DINNER
NYUSO
ANKAL K


Post a Comment

1 Comments

  1. jamani simu hizo kwanini hazipumzishwi?
    tazama huyo anapakua kachumbari na simu mkononi.
    hivi warembo na kina baba, kwanini simu zenu hamziweki mifukoni?
    utakuta hadi harusini, watu na misimu mkononi.

    ReplyDelete