WASTARA APELEKA ZAWADI KWA SHOSTI WAKE KIGAMBONI

 WASTARA NA KAMPANI YAKE WALIINGIA KWA FUJO, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI
NYUSO


Post a Comment

6 Comments

 1. HApo nimependa rangi za nguo wamemix vizuri. Ila hatujaelewa zawadi ya nini au kampa tu shost wake. Watu wana mambo safi lakini

  ReplyDelete
 2. halafu ooooh hali ngumu kweli hiyo? kweli ukiwa huna sema sina sio hatuna hela. wastara umetisha.

  ReplyDelete
 3. Sasa tuambieni izo.zawadi za nini??

  ReplyDelete
 4. UWE UNAANDIKA MAJINA BASI HATA YA WAHUSIKA TU. MI NAPENDA KUINGIA HUMU HATA SHUGULI SIIJUI ANDIKA TU ILI M2 AJUE WASTARA NDO YUPI KTK PICHA. PIA ANDIKA ZAADI ZA NINI,HARUSI KITCHEN PARTY, AU SHOGA KAAMUA TU KUMZAWADIA SHOST WAKE

  ReplyDelete
 5. Napenda nitoe shukurani zangu kwa woteeee. Kikundi kinatisha na mashamsham mmmmh sina cha kueleza . Kwakweli kampan nimeipenda sn ,ukiupata ujumbe huu tafadhali mwambie mwenzio uliekuja nae pale kigamboni ,niko pamoja nae.
  Wastara asante m.mungu atuzidishie mapenzi. Nimimi Asha.

  ReplyDelete
 6. hehehehehee mjini kuna kazi kutunzana tu, bongo hakuna shida, shida utake mwenyewe vikundi kibao mara vigodoro, mara masiponji bado mikeka tu na moto

  ReplyDelete