RUHIYA FEISAL FEREJ & GHAFUR ADIL ZULFIKAR AQDI!!!

VENUE:: AL-HILAL HALL

NDOA ILIFUNGWA MSITIKITI WA IBAD RAHMAN BABA MZAZI WA RUHIYA, FEISAL FEREJ AKITOA IDHINI
  GHAFUR AKITIA SIHIHI YA CHETI CHA NDOA


 FEISAL FEREJI KATIKA NYUSO ZA FURAHA BAADA YA NDOA KUFUNGWA

RUHIYA AKIMSUBIRI MUME WAKE KUMPA MKONO
 MAULID
MAALIM MARIAM DEDESI

 NURU MWENE NA WANAWE
 FADYA , TANISA & FAIZA


 FARHA, BI HARUSI WATU WA LAST WEEK!!!
 


Post a Comment

12 Comments

 1. Mbona sielewi bean harusi ni yup I hapa?

  ReplyDelete
 2. ki ukweli make up ya bi harusi ni zero(0), huyo make up artist hajamtendea haki. aliyemfania design ya nguo pia hajafanya vitu vya kisasa, amekua kama ametundikwa.

  ReplyDelete
 3. too much make up kwa bibi harusi jamani hivi hawapigwi picha wakajiona kabla ya tukio lenyewe??

  ReplyDelete
 4. jamaniii eeh i heart fadya she is an angle too cute hajakaa na sura ya kishangii ht kdg very innocent!!! teamfadya

  ReplyDelete
 5. mashallah harusi ilikua nzuri saaaaana na wanafamilia tumefurahi inatosha... Na bisarusi alipendeza kupita maelezo m'mungu akuepushie jicho la mahasidi. ameen inshallah

  ReplyDelete
 6. Mbona kawaida tu ndoo harusii hiyoo sii wapee dua tuu yaishee bi harusi kapendezaa sana ndoooaa njemaa

  ReplyDelete
 7. HONGERENI MAARUSI, MUNGU AKUJAALIENI NDOA YA KHERI, IDUMU, MKO WAWILI, MUONGEZEKE KUWA KUMI NA MBILI.

  BI ARUSI MMEHARIBU, MZURI MASKINI LAKINI MMM PODA, PODA JAMANI, MBONA NYINGI SANA, HALAFU KAMA ALIVYOSEMA ALIETANGULIA, JAMANI, MBONA NGUO ZIMPLE ZINAPENDEZA TUUU, HATA HIVYO KILA LA HERI!!!!

  TUENDELEE KUJIFUNZA NA KUFUNDISHANA JAMANI, MNAONA HIZI MAKE-UPS BADO BADO BADO TUZIDIKUJIFUNZI, ZIKIWA NYINGI KWENYE NYUSO ZINACHUKIZA, WENGINE WAZURI WA ASILI LAKINI WAKIJIKANDIKA WANAHARIBIKA!! TUENDELEZA SOMO HILI LA MAKE-UPS, IKO SIKU TUTAWEZA!!!

  ReplyDelete
 8. Kila mtu n kitu Anachopenda, kasoro mnaziona nyie family tunaona sawa, hvi ingekuwa watoto wenu au ndugu zenu mngeweza kuandika comment namna hyo? Kwani make up ndo inayoenda kuishi na mwanaume? Hasbiyallah loooh! Mungu atakuepusha na hasad Ruhiya

  ReplyDelete
 9. Kusema ukweli bi harusi na mme wake wamependeza,wako so cute together kama fairytail hivi,so lovely.My dear stay blessed.

  ReplyDelete
 10. Tanysah Big Up!! Bi harusi kapendeza saaana MashaAllah Mungu atamlinda na Hasada za wapambe nuksi..
  Huyo anaeuliza bi harusi yupi namuonea huruma manake kusoma hajui basi hata picha haoni mmmmh!!
  Mashughuli ukipata contact ya mpambaji mie unipe wenye wivu wajinyonje tu..!

  ReplyDelete
 11. kwa kweli bi harusi ni mzuri, lakini mpambaji kamuonea kabisa.. jamani wapeni haki zao kutokana na sura zao.. huyu angepakwa poda kiasi tu angependeza saana.. pili gauni sielewi huyu dada ni mwembamba kama skeleton alafu gauni limemvaa jamani huyo disigner hakuona huyu dada ni slim jamani.. madesigner wanakula hela za bure ukute amechaji hela nyingi saana.. bola unenunua uarabuni made already..ila ndo imekuwa tena.. nawatakia ndoa yenye heri na kumucha mungu..

  ReplyDelete
 12. Mashallah ruhiya amependeza na hayo ni maneno tu ya binaadam ndoa njema

  ReplyDelete