AZIZA's KITCHEN PARTY!!!!

VENUE:: MWIKA HALL SINZA
ENTERTAINMENT:: MELODY LIVE BAND & RUSHA ROHO
COLOUR:: KENTE COLOURS
MC:: MISHY
DESIGNER::BAHIYA LUMELEZI - +255 713 233 362

ZAWADI
 ZAWADI YA SOMO-SAIDA KANYAU, SITTING ROOM ILIYOKAMILIKA HAPANA CHEZEYA!!!

 ZAWADI YA MAMA

 

  MC-HAJAAT MISH...!!!
MWARI AKIFICHULIWA
 MAMA AKIMFICHUA MWANAYE

SITTU MWASI AKIFICHUA MWARI
AZIZA

 DESIGNER WA NGUO NI BAHIYA LUMELEZI +255 713 233 362
CHAMPAGNE


CAKE
 

 AZIZA AKIKATA KEKI
 MC MISHY ALIMWAMBIA MWANAMKE KUONJA BABU...LAZIMA UONJE MAPISHI KABLA YA KUMLISHA MUMEO
 KISHA AKAMLSIHA SOMO
 ODO RUKIA 
SOMO YAKE SAIDA
BURUDANI
ISHA MASHAUZI ALIKUWEPO!!
 
 
ZAWADI

 MAMA ALIMKABIDHI KITANDA
 BIBI AKIKABIDHI HOME SHOPPING CENTRE NET 
 ODO RUKIA NA AKIENDA MPA AZIZA ZAWADI NA GROUP YAKE NIPE JINA LA GROUP
 KABATI LA NGUO
SOMO ALITUNZA NA MELODY, SAIDA MPENZI WA MELODY KABLA YA KWENDA 

KUMPA MWARI ZAWADI ZAKE, ALIMTUNZA BI MWANAHAWA ALLY KWANZA WENYE KUJUA MAANA!!
 
KISHA AKAMCHUKUA MWARI WAKE!!

 UMEONA PURE LEATHER SOFA COACH YA UKWEE'E

 KISHA AKAKABIDHI, COFFEE TABLE, ZULIA, SHOW CASE NA FLAT TV
SAIDA NA WAPENZI WAKE, EEH  WANASEMA KILA MTU NA MTUWE!!


 SAIDA KANYAU AKITUNZWA

FADYA FEREJI AKIENDA MTUNZA SAIDA
HAPANA CHEZEYA FADYA!!!
SHUMU GESANI   FADYA DEREJI BAADA YA KUMTUNZA SAIDA
HAPANA CHEZEYA MAMA WA MASHUGHULI AKIMTUNZA SAIDA, MPAKA NIMETUNZA BASI NAKUKUBALI KILA KONA!!! UNAONA NINAVYOMWAGA PESA EEH!!
MOI & SAIDA
MAMA YA DUBAI AKIMTUNZA SAIDA
MUZNE & SAIDA
ODO RUKIA NA MAMA MZAZI WA AZIZA WAKIENDA KUMTUNZA SAIDA KANYAU SOMO WA UKWEE'E MILLION 3 UPO HAPO


ZUBEDA MAMA YAKE AZIZA & RUKIA BAADA YA KUMTUNZA SAIDA
DALILA JAGGAR NAYE ALIMTUNZA SAIDA VITENGE, KHANGA
BAADA YA HAPO AKAMWAGA MIPESA
NYUSOWAPAMBE WA BI HARUSI


ME & PACHA WANGU!!


JUNAITHA PEMBA!!
FAIZA & TANISA, NIME-CONFIRM THEY ARE SISTERS FOREVER!!!

SITTU MWASU  & SHOSTITO RAHISI WA ILALA

DESIGNER BAHIYA & SHAMSA HASSANOL

RED CARPET

 SWAGA
Post a Comment

4 Comments

 1. Manshaallah,pendeza sana Aziza..,waalikwa nao wametokelezea...,simple makeup n stunning,hao marafiki wa Rukia grup yao ni strength of tha woman,nawapenda sana hao wadada hua wanapendeza sana,

  ReplyDelete
 2. Mashaalah mama naamini mungu atakupa ndoa njema na utadumu milele,kwa hakika watu wamependeza sana sana

  ReplyDelete
 3. pendeza sana wadau.. huyu dada fadya nampenda sana jamani.. she is so cute masha allah

  ReplyDelete
 4. Unahjipendekeza kwa hiyo kanyau familly mpaka aibu

  ReplyDelete