FATMA'S KITCHEN PARTY!!!

BRIDE      ::FATMAH HASSAN
MAKE-UP:: MADAM GLAMBOXWEDDING
VENUE     :: NADDS HALL SALENDER BRIDGE
COLOUR  :: KENTE COLOURS
MC            :: JAMILA KITMTIM - +255 655 374 440
FATMA ALIINGIA KWA CONFEDENCE AKIWA NA FURAHA KWANI SIKU YAKE SPECIAL NA ALIYE CHANGAMKA, MIMI BINAFSI UWA NAIPENDA HII SANA SHUGHULI IMETULIA SANA...!!!

 FATMAH HASSAN AKITUSALIMIA
SOMO ASHA TOM NA KAMPANI YAKE!!
MC NI YULE YULE WA UKWEE'E JAMILA WAKUACHE MIAKA 100 UTAWAKIMBIZA SAAANA TU!!!
BRIDE TO BE FATMA HASSAN
 DECOR...!!!
CAKE
CHAMPAGNIE

NAIPENDAJE HII, FULL CONFIDENCE UNAFUNGUA MWENYEWE!!!
SOMO NA MWARI WAKITOSS!!
BAADA YA FATMAH KUMALIZA KULA SOMO ALIMRUDISHA MWARI WAKE NA NGUO YA PILI!!!!  PENDEZA SANA!!
BAADA YA FATMAH KUMALIZA KULA SOMO ALIMRUDISHA MWARI WAKE NA NGUO YA PILI!!!!  PENDEZA SANA!!
ZAWADI
FATMA HASSAN AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE, MUHIMI WADAU TUJUE NANI KATOA NINI?, LAKINI NIMEANZA KUPUNGUZA PICHA TARATIBU HAPA SASA NI ZAWADI KUBWA TU, WALE WA MASUFURIA, KHANGA MOJA KITENGE PICHA HIZO HAZITOLEWI TENA
WAKATI SOMO ASHA ANKWENDA KUMKABIDHI MWARI WAKE ZAWADI, MASOMO SAIDIZI WALIMSINDIKIZA KWA VIPEPEO!!! HAPANA CHEZEYA TOTO ZA KARIAKOO!! SWAGA KIBAO
ASHA TOM AKIMKABIDHI JIKO, MWANAMKE MAPISHI
KAMPANI YA SOMOS BAADA YA KUKABIDHI ZAWADI
CHEZA
BI AFUA ALIKUWEPO KUWARUSHA ROHO WAALIKWA NA JIDODO!!
NYUSO
HAPPY & SHOSTITO
SAADA, ZAKIA & FARIDA TOM, SOMO SAIDIZI HAO,..!!!
GEA HABIB, NA YEYE NI SOMO MSAIDIZI HAPANA CHEZEYA UKO JUU!!
ASHA TOM NA KAMPANI YA MASOMO WENZIE
RED CARPET

SWAGGAPost a Comment

3 Comments

  1. shughuli nzuri biharusi kapendeza mashaa allah uso umetendewa haki

    ReplyDelete
  2. PENDEZA MBAYAAAAAAAAAA HONGERA BI HARUSI

    ReplyDelete
  3. Harusi ya watoto wa town utaijua 2, hata kama hujui kusoma picha inaonyeshaa!! Nimependa sanaa! Wapo in fashion.. Yaan mmmmwaaah!

    ReplyDelete