KHADIJA NGODA SEND OFF PARTY
DECOR....!!!

 CAKE
NYUSO


  PHOTOCREDIT - FRANY EYEMBE

Post a Comment

8 Comments

 1. jamani kinamama unene unawasumbua alafu hamuoni haya mijimwili km hiyo yakuvaa vimini na mijikono wazi haipendezi punguzeni nyuso hazikupakwa powder kabisa sio mbaya kuliko kupaka no sio zenu

  ReplyDelete
 2. decor mbona inatisha kwani sherehe ni ya freemasons au? watu mbona wanaonekana si wakawaida. huu ukumbi uko wapi mbona ina michoro ya ajabuajabu alafu inatisha sioni kama ni ukumbi mzuri kwa mimi.

  ReplyDelete
 3. Mdau usigope,hiyo sherehe imefanywa kwenye restaurant ya kichina (i think so,though i aint sure),ila kwa kuwa najua jinsi gani restaurants za kichina zilivyo,dragons/picha za madragon huwa hazikosi kwenye migahawa yao. Na uk,restaurants za wachina zipo nyngi mnoo.Na pia nahisi bi harusi alitaka kufanya somthing difrnt,waende kusherehekea kwenye restaurant badala ya ma social hall,wch i thinks its somethng difrnt n'unique

  ReplyDelete
 4. Wee mdau wa kwanza acha matusi....unataka watu wapake powder kama vumbi? Huo wote wivu na ni maneno ya mkosaji watu wamependeza either you you like or not....na hamna vimin hapa na mikono iko sawa na miili yao.

  ReplyDelete
 5. poa, nimekupata. mana niliogopa

  ReplyDelete
 6. jamani watanzania tujifunze kuappriciate kitu cha wenzetu unene au wembamba wa mtu ni personal kama wao ni wanene hayo ni maisha yao na pia tukatae tukubali mila na desturi za ulaya ni tofauti na za kwetu hujalazimishwa kuchangia lugha za matusi na kejeli sio nzuri na hiyo yote ni uwivu no matter what khadija u rock baby girl

  ReplyDelete
 7. this is the classiest bridal party ever occurred in this blog. kuanzia nguo, make up, venue yaani wamependeza na watu wachache na inaonyesha they had lots of fun. nimeipenda.

  ReplyDelete
 8. Mmmh! We mdau wakwanza acha kujishaua, ebu weka na ww sura yako 2ionee!! Msonyoooooooo!!!...

  ReplyDelete