CLASSIC STYLES WASHUSHA MZIGO WA NGUO!!!!

OFFICE DRESS

CLASSIC STYLES WAMELETA MZIGO WA NGUO ZA KISASA TOKA MAREKANI, BEI ZAO NI ZA KAWAIDA, UKIFIKA CLASSIC STYLES UTAPATA USHAURI WA KUVAA ILI UWEZE KWENDA NA DRESS CODE, KARIBUNI NYOTE!!
DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 655 426 100
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA
LACE PEPLUM DRESS
KWA NYUMA INA ZIPU KUBWA
FLORAL PRINT HIGH LOW DRESS

CASUAL DRESS
EVENING DRESS
OFFICE SUITS
BLOUSE
ANIMAL PRINT PEPLUM BLOUSE

Post a Comment

3 Comments

  1. number ya simu imekosewa tafadhali, pia tuwekeeni bei ili tujipange au mwaogopa kodi TRA....

    ReplyDelete
  2. I am coming loooh nguo nzuri saana! plus size zipo??

    ReplyDelete
  3. kweli gauni zuri haswa hilo la floral prints na hiyo ya ink..bei jamni mwee wekeni tujipangeee,wabongo hatujui biasharaaa

    ReplyDelete