RHODA's LADIES PARTY!!!

BRIDE    :: RHODA 
VENUE   :: MWIKA HALL 
COLOR  :: PURPLE & ORANGE
EVENT   ::KITCHEN PARTY
MC          :: ADELA
ENTERT::DJ CHICHI
DRESS  ::BEAUTY POINT
MAKEUP::MAZNAT BRIDAL CARE
DECOR  ::LOTUS CREATIVE CONCEPT
CAKE     ::MONIKA MAKUNDI
 BI ARUSI ALIYECHANGAMKA NA KUSHINDWA KUFICHA FURAHA MIE NAMUITA "HAPPIEST BRIDE EVER" RHODA ALIPENDEZA KUANZIA JUU MPAKA CHINI, NGUO YAKE IMEPATA MVAAJI, SHUGHULI ILIKUWA BOMBA WATU WALICHEZA MWANZO MWISHO.....ORGANIZERS WAKO JUUU HAKUNA LILILOHARIBIKA.......!!!!

 RHODA AKIINGIA UKUMBINI
WANAKAMATI WALIMSINDIKIZA RHODA
MC ADELLA
MC ADELLA SASA YUKO KIVINGINE KABISA NI KATIKA KUBORESHA KAZI ZAKE!!! MZIKI WAKE NI UKWEE'EE
DJ CHICHI
RHODA
SWAGGA ZA RHODA
Decor...!!!!!
RESERVED TABLE
SHUGHULI ZOTE ZA UKWEE'E HAPA JIJI LA DAR, LAZIMA CARD YA UTENGENEZE SILMANS INVESTMENT KWA KUONA KADI ZAO ZAIDI INGIA HUMU

WAALIKWA WOTE WALIKARIBISHWA NA COCKTAIL NJE YA MLANGO, KWA HIYO KULIKUWA NA COCKTAIL TABLE WAWEZA CHAT KIDOGO KABLA YA KUINGIA NDANI
NURU MWENYEKITI WA KAMATI AKICHAT NA WAGENI
CAKE
RHODA AKIKATA CAKE
RHODA ALIWAFUATA WAZAZI WAKE KUWALISHA CAKE
MAMA MZAA CHEMA AKIPATA KIPANDE CHA CAKE
MAMA NAYE AKASEMA HAPANA MWANANGU LAZIMA NIKULISHE , MTOTO KWA MAMA HAKUI
AKIMLISHA BIBI YAKE 
AKIMLISHA SHANGAZI YAKE ANNA
AKIMPA SHANGAZI KIPANDE CHA CAKE AKISEMA ASANTE
WANAKAMATI WAKIFURAHIA CAKE 
NURU MWENYEKITI WA KAMATU "ORGANIZER" AKIONGEA.....!!!
CHAMPAGNE
CHEEEEEEERS...!!!
NURU AKIGONGA GLASS NA RHODA
JACK A.K.A KARDASHIAN & RHODA
WIFI WAKIFURAHIA....!!!
ILIKUWA NI RAHA...!!!
BURUDANI...!!!
 HAPANA CHEZEYA REGINA ILIKUWA PESA BAADA PESA
 KARDASHIAN UKO JUUU
HAPANA CHEZEA MADAME LILIAN ALIKUWA ANAMSHOWER MAHELA NYOTA
NURU AKIMTUNZA NYOTA BAADA YA KUGUSWA 
 MWARI NA SOMO
 NYOTA AKITOA BURUDANI
 KWAITO
 BI SHAKILA ALIKUWEPO KUBURUDISHA NA SAUTI YAKE YA KUMTOA NYOKA PANGONI.....!!!
LILIAN & ANNA - BFF
NYUSO
RHODA NA AUNT YAKE KIPENZI ANNA
Mhe. MBUNGE NEEMA HAMID MGAYA
RHODA NA BIBI ZAKE
BIG HUG TO MAMA!!!
MAMA MZAA CHEMA
ANNA AUNT YAKE RHODA
NURU, HAPANA CHEZEYA
HAPPY PEOPLE
JULIE & JACK - BFF
KARAMUNA FAMIY UTAWAJUA TU KUPENDEZA JADI YAO
MADAME LILIAN KARAMUNA.....!!! BOSSLADY
JACK & LEMIRA
 SOMO NA MWARI
 ANNA & FRIEND
 ROSE, NURU & ANNA
ROSE & FRIEND
 NI PACHA HAWA???
KUULIZA SI UJINGA NIMEPATA JIBU SUZIE MUKANZABI & AISHA, VIATUZ SEAVIEW NDIO MAANA NIKAGUSWA NA KAITU.....!!! ASANTE MDAU
 BIBI ZAKE RHODA
 FASHIONISTAZ
 ANNA & FRIEND
 MASOMO
 WIFIS
WIFIS
 MASOMO
 JACK & KARAMUNA's 
 SALMA KESSY
NYOTA BADALLAH
BLACK CARPET
RHODA -THE HAPPIEST BRIDE EVER...!!!
ROSE
FAUZIA
JULIE
SALMA KESSY
NURU
MADAME ANNA
SWAGGA
SIMPLY MADINI KWANZA
VIATUZ SEAVIEW UPANGA


Post a Comment

8 Comments

 1. hiyo pic ulioandika ni pacha hawa?hao sio mapacha ni mtu na dada ake,uyo mwenye mwanya anaitwa suzie mkanzambi,na uyo Aisha,ndio wale wanaomilik blog au maduka ya viatuz lililopo sea view na mbuyuni kma cjakosea.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umekosea mdau,ni mtu na dada yake,mwenye mwanya anaitwa Oliva mkanzabi na ndio mwenye duka la viatuz,na huyo mwingine ni dada yake anaitwa suzie mkanzabi..

   Delete
 2. Daaah imependeza sn,hongera doroth

  ReplyDelete
 3. WADAU SAMAHANI SANA NILIKOSEA JINA LA BI ARUSI BADALA YA RHODA NIKAANDIKA DOROTHY!!!

  ReplyDelete
 4. Wow shughuli nzuri na sare zao walipendeza sana Huyo Lilly wa msalato? Nampenda sana LILIAN tulisoma nae long time. She is cute

  ReplyDelete
 5. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 6. Kama sijakosea hao ni mtu na dada yake, Suzie na Olivia Mkanzabi

  ReplyDelete
 7. Anony hapo juu haswaaa wala hujakosea ndio hao Suzie mkubwa Olivia mdogo

  ReplyDelete