ONJA:: MAULID YA SALAMA & AMIR!!!

 NAWAONJESHA MAULID YA AQDI YA SALAMA & AMIR, HAPO MARKHAM HALL, PICHA HAZINA MAELEZO MWENDO KIMYA KIMYA, MAMBO YANAIVA PICHA KAMILI SOON, PATA PICHA SHUGHULI ILIKUWAJE HIZI NDIO ZILE SHUGHULI PAMBEEEEEE!!!! AKIGEUKA BI ARUSI UTAPATA PICHA KAMILI

BEST FRIENDS FOREVER!!

Post a Comment

5 Comments

 1. inaonekana ilikuwa nzuri sana watu waling'aajee, hongereni sn

  ReplyDelete
 2. watu wamejua ju
  insi ya kupaka makeup,hongerazake

  ReplyDelete
 3. Hongera mashughuli kwa post za harusi tamu,nmependa sana mak up ya bi harus na mama yake kuanzia aqdi mpaka maulid.hongera za dhat zimwendee artist wao.inshaalah kheri allah awajalie kizaz chema.

  ReplyDelete
 4. for the first time,kuanzia bibi harusi mpaka washeherekeaji make up zimekubali.wote wamependeza.au wote ni mahallat?maana make up bomba kabisa

  ReplyDelete
 5. On point!shughuli ya watu makini na kika kitu chao makini!kwa kweli ilipendeza sana...

  ReplyDelete