ONJA:: SALAMA's NIGHT...!!!

NAWAONJESHA PICHA CHACHE ZA USIKU WA SALAMA,  SALAMA AKIINGIA NA MAIDS WAKE WALIPENDEZA SAAANA...!!!!! SHUGHULI PAMBE WATU WASTAARU MAKEUP MWAKE.......!!!!

CAKE
NIMEPENDAJE CAKE IKO SIMPLE BUT EXPENSIVE..!!!
 MASHANGAZI WAKIMFICHUA SALAMA HAPANA CHEZEYA 
MAMA MZAA CHEMA AKIMFUCHUA MWANAYE
SOMO KHADIJA AKIINGIA UKUMBINI...!!!!
SOMO KHADIJA NA APAMBE WAKE WOTE WA MUJINI, SI UMEMUONA SHILLA...!!!
CHEZA
 MASHANGAZI HAO...!!!
 NGOMA INOGIRE HAENDI NA 6 INCH HEEL...!!
NYUSO
 NOUR & FRIEND
MASHA HUSSEN & FRIEND
 ANNA & FRIENDS
 SHILLA & REHEMA AZIZ
 SARE ILINOGAJE....!!!
 WANAWARI HAO PENDEZA SANA BLACK IS BEUTY..!!!
 MARIAM
 MWAMI
 FAIDA MAMA YA MADIKODIKO
 ZAOMBA, AMINA, FADYA & FRIENDS
NOUR, MARIAM, KURUSUMU & FRIEND
   
NOUR AZIZ AFUTWA JASHO NA MASHOSTITO'S WA UKWEE'E
AISHA MASIKA AKIONGOZA MARAFIKI WA NOUR KUMFUTA JASHO...
BI ARUSI SALAMA ATUNZWA MASANDUKU YA UKWEE'E
RED CARPET
NOUR & FIFI
SHILLA & RAHMA KARANDA
MARCELINA KISANKO
NOUR AZIZ & AMINA PLUMMER
MC JAMILA KITMTIM
ZAOMBA
AMINA & FADYA FEREJ
Post a Comment

5 Comments

 1. Picha bi harusi mmembania sana,sio nyingi

  ReplyDelete
 2. Watu makini make-up zimetulia hongereni sana

  ReplyDelete
 3. Humu jamani nimemwona mdada anaitwa Agnes Kaniki,jamani nisaidieni jinsi ya kumpata....ila pia hii shughuli ilibamba,hongera mtarajiwa,kila la kheri!!

  ReplyDelete
 4. Amina plummer kapendezaje nimependa kwa kweli

  ReplyDelete