PEACOCK THEMED WEDDING!!!!!!

HII NI ARUSI AMBAYO THEME YAO ILIKUWA NI MKIA WA TAUSI, DECOR YOTE TAUSI ALIHUSIKA KAMA MNAVYOONA NGUO YA BI ARUSI TAUSI YUMO.....!!!


Post a Comment

4 Comments

  1. Binafsi haijanivutia hata kutafuta u-unique hapana kah. Na hiyo style ya nywele ya bi harusi akha mwenzangu!

    ReplyDelete
  2. it didnt impress

    ReplyDelete
  3. what is this jamani? bibi harusi hujanivutia hata chembe! i dont like her hair style. ur not attractive at all

    ReplyDelete