SALAMA & AMIR AQDI!!!!!

MASHALLAH!! MASHALLAH!! NGOJA NIVUNJE NA VIDOLE SALAMA AMEPENDEZA SANA, MAKEUP MWAKE JICJO JICHO, HII NI AQDI YAKE NA MUMEWE AMIR, WADAU TULIMWONA SALAMA KWENYE SALAMA's NIGHT ALITOKA KISAWAWA ZAMA NDANI UONE VITU VYA WASTAARAB

AQDI IKIFUNGWA
AMIR AKIKABIDHIWA MKEWE NA KAKA YAKE SALAMA
 AMIR AKISOMA DUA KABLA KUMFUNUA MKEWE SALAMA
 BWANA AMIR ABAS AKIMPA MKONO WA KWANZA KATIKA NDOA MKEWE
NYUSO
NOUR,SALAMA & AZIZA
SALAMA, KHADIJA & NOUR AZIZ
SALAMA & AUNT YAKE NOUR
KHADIJA SOMO WA SALAMA & FRIEND
NOUR, SALAMA & FRIEND
 NOUR & SHEIKH MUHANDO
 

 
 MAMA WA BI ARUSI, RAHMA KARANDA, & AZIZA
R:WAZIRI BABA MZAZI WA BI ARUSI SALAMA
CHAKULA
RED CARPET
KHADIJA, NOUR, SALAMA, AZIZA & NADYA ROSE

Post a Comment

6 Comments

 1. mashaallah. simple and clear..

  ReplyDelete
 2. nimependa mekap yake sana dada congratulation ingawaje picha kidgo tulizo wekewa

  ReplyDelete
 3. mashallah bi harusi make up imetuliaa

  ReplyDelete
 4. nimependa chumbani kusafiiii sio wengine humu utakuta manguo yametupwa viroba vimefungwa miaka mitano nyuma khaa wanawake igeni usafi huu chumba ukilala hutaki kuamka hongera Salama umependeza sana mmeendana na mumeo mungu awape kheri mkae vizuri kwenye maisha ya ndoa

  ReplyDelete
 5. Ameen In Shaa Allah Mwenyezi Mungu awaajilie ndoa yenye kheri awajaalie afya njema na awaajalie kizazi chema In Shaa Allah Ameen

  ReplyDelete