SALAMA's NIGHT

BRIDE     ::SALAMA 
VENUE    :: MAKUMBUSHO GARDEN
COLOR   :: PINK, YELLOW & BROWN
EVENT     ::SALAMA's NIGHT
MC            ::JAMILA
MAKEUP  ::GLAMBOX
DECOR    ::FANINA 
CAKE        ::DELIGHTFUL CAKES
CATERER:: FANINA
WALIANZA MAWIFI KUMUINGIZA WIFI YAO HAPANA CHEZEYA...!!!
KISHA SALAMA AKAINGIA NA MAIDS WAKE, WANAWARI WALIOJUA KUCHEZA NA SWAGGA ZA KISASA...WADAU HII SHUGHULI ILIKUWA NI YA KISTAARAU SANA....!!!

SALAMA
 SALAMA's SWAGGA
 SALAMA NA WAPAMBE BABY AMINA, MANGA, RAHMA, NAILA & FIFI
YEES TUMEPENDEZA...!!!
 MC JAMILA KITMTIM
SALAMA AKIFICHULIWA...!!!
SALAMA & BABY AMINA
 AUNT NOUR AKIMFICHUA SALAMA....!!! 
MAMA MZAZI AKIMFICHUA BINTIYE
SOMO AKIINGIA NA PAMBE YAKE
SOMO NI KHADIJA...!!!
SWAGGA NI MNYAAAMA...!!! UKOO JUU SOMO WA UKWEE'E VERY COOL...!!!
MWARI NA SOMO
 
SOMO NA PAMBE YAKE WAKIONGOZWA NA SHILLA FASHION......WA MUJINI HAO
 DECOR.....!!!!
INVITATION CARDS  & PROGRAMME TOKA SILMAL INVESTMENTS
 NARUDIA TENA WADAU SHUGHULI PAMBE KADI NI SILMAL INVESTMENT ZAMA HUMU UCHAGUE KADI YAKO PAMBEEE SILMAL INVESTMENT
ZAWADEE...!!!!!
CAKE
SALAMA AKIKATA KEKI YA USIKU WAKE....!!!
WADOGO ZAKE SALAMA, FIFI & MANGA
MIE HAPA NASEMAGA HAKUNA KAMA MAMA....!!! 
BIBI MZAA MAMA RAFIKI WA WAJUKUUU...!!!
BIBI, MAMA KARANDA AKIPATA HUG BAADA YA KULA KEKI....
KULTHUM KARANDA  FROM UK AKIMILSHA SALAMA KEKI
SWAADA KARANDA MISS PWANI 1999 & 3RD RUNNER UP MISS TANZANIA (1999) AKILISHWA KEKI NA BINTIYE....!!!
BURUDANI........
MASHANGAZI WA UKWEE'E
SUPRISEEEE BWANA ARUSI UKUMBINI
 SALAMA AKAMPOKEA BWANA AMIR ABAS
SALAMA AKIMKARIBISHA MUMEWE CHAKULA
CHAKULA
SALAMA AKIKABIDHIWA ZAWADEE
ALIANZA MAMA KUKABIDHI SANDUKU
MASHANGAZI KULTHUM KARANDA & RAHMA KARANDA WAKIENDA KABIDHI  ZAWADI ZAO KWA SALAMA!!!!
WAKIMKABIDHI DINNING TABLE PAMOJA NA SET YA VYOMBO
 KISHA WAKAMPA SOFA SET NA ZULIA
RAFIKI WA KARIBU KABISA NA NOUR AZIZ WAKIMKABIDHI BEDROOM SET ILIYOKAMILIKA...!!!
ROSE IBRAHIM  AKIONGEA KIDOGO NA SALAMA KABLA YA KUMKABIDHI ZAWADI YAKE
NOUR NA RAFIKI ZAKE...!!!
BIBI AKIPELEKA ZAWADI...!!!
SOMO KHADIJA AKIKABIDHI ZAWADI ZAKE ZA JIKONI

SASAMBUSASAMBU YA MASANDUKU YA FIFI TOKA UK 
MASANDUKU LIKISASAMBULIWA...!!!
UMEONA EEH....!!!
 NOUR AZIZ AKIKOSHWA.....!!!!
SI UNAJUA SHUGHULI PAMBE KAMA HII LAZIMA UKOSHWE AU UFUTWE JASHO...!!!
RAFIKI ZAKE NOUR WAKIENDA MKOSHA SHOSTITO...!!!
AISHA BADE, AMINA DESIGN ROSE EBRAHIM, TAHIA BADE & AISHA MASIKA
SHUMU AKIMKOSHA NOUR
NYUSO
NOUR & FRIEND
MASHA HUSSEIN & FRIEND
ROSE EBRAHIM & FRIEND
REHEMA AZIZ & SHILLA KASITTA
KULTHUM KARANDA & FRIENDS
BIBI KARANDA
FASHIONABLE AUNT RAHMA KARANDA
MARCELINA & FRIEND
MAMA MKWE WAKE SALAMA
MARIAM
NOUR, AMINA DESIGN & AZIZA
SALAMA AKIWA NA AUNT ZAKE AZIZA AZIZ, FIFI AZIZ & NOUR AZIZ
FIFI AKIWA NA RAFIKI ZAKE WALIOMSINDIKIZA HARUSINI FROM UK
SALAMA & KULTHUM
NOUR AZIZ & FRIENDS
FAIDA
MWAMI
FIFI & FRIENDS
AMINA DESIGN
SHILLA & KULTHUM
ANNA
ROSE & TAHIA
AISHA BADE
RED CARPET
NADYA ROSE KAMANGA & NOUR WAZIR
NGUO YA MAMA YA BI ARUSI DESIGN BY HK's COLLECTIONS INGIA HUMU UPATE MAWASILIANO NAO NA ONA ZAIDI DESIGN ZAO HK's COLLECTION
AMINA PLUMMER
SWAADA & AMINA
ZAOMBA
SALAMA, KULTHUM & SHARRIFA

FADYAPost a Comment

5 Comments

 1. glambox sijaona bado mnabana staili moja maids na bi harusi mtarajiwa ,watu wengi wanasema hivyo mnabana sana staili moja watu wakienda wanatoka wamefanana kwanini na pia punguzeni bei na mashauzi

  ReplyDelete
 2. Helen??hizo swaga??like seriously??

  ReplyDelete
 3. mashallah watu walipendeza sana.

  ReplyDelete
 4. It was blast dahh! Kila kitu ni bombaaaaa

  ReplyDelete