TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE!!!!!

HAYA HAYA WADAU WA KIKENI LILE TAMASHA KUBWA LA MWANAMKE JITAMBUE, WEWE NI NANI KATIKA JAMII, HAYA NI MAMBO YETU, HII YOTE NI KATIKA KUMPA MWANAMKE CONFEDENCE KATIKA MASWALA YA KIBIASHARA, PIA TUTAWASIKIA WATOA MADA KATIKA TAMASHA KUHUSU NDOA NA MAHUSIANO, KAMA WEWE UKO KWENYE NDOA NA UNA MSONGO WA MAWAZO (STRESS) MFADHAIKO WA MOYO NA KUKOSA AMANI NDANI YA NDOA, NJOO UPATE NJIA MBALIMBALI YA KUONDOA HAYO MACHUNGU, PIA WALE AMBAO WAKO KWENYE MAHUSIANO NJOO UPATE MBINU ZA KUINGIA KATIKA NDOA KWA LENGO LA KUSAIDIWA AU KUONGEZA KIWANGO CHA KIUCHUMI ULICHO NACHO WAKATI HAYA YOTE YANAENDELEA TUTAKUWA NA BURUDANI ISHA MASHAUZI NA BEND YAKE YA MASHAUZI CLASSIC, KAMA WEWE NI MJASIRIAMALI UTAPATA MBINU MBALIMBALI ZA KISASA NA KISOMI ZA KUIMARISHA NA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA NJIA ZA KISASA, PIA UTAKUTANA NA WAJASIRIAMALI WAKUBWA NA KUONGEA NAO, TUTAKUWA NA CHAKULA CHA MCHANA, BILA YA KUKOSA RED CARPET YA UKWEE'E, KUPENDEZA INAHUSU, USIKOSE WAHI TIKETI YAKO SASA...!!!
TAREHE:: 08/09/2013
UKUMBI:: KUALA LUMPA SINZA KWA REMMY-FULL AC
MUDA:: 5:00 ASUBUHI
KIINGILIO:: 30000/=
MAWASILIANO:: +255 655 999 500\0713 375 313
PIGA NAMBA HIZO ZA SIMU KWA AJILI YA KUPATA TIKETI

Post a Comment

0 Comments