AISHA & ABDI WEDDING RECEPTION!!!!

BRIDE                     ::AISHA
GROOM                  ::ABDI
EVENT                    ::RECEPTION 
VENUE                    ::DANKEN HOUSE
COLOR                   ::GREEN, BLUE, PINK & YELLOW
ENTERTAINMENT::JAHAZI MODERN TAARAB
MC                           ::CHENI
HAYA HAYA WADAU ARUSI YA NGUVU NA YA UKWEE'E NI HAPO MIKOCHENI, KATI YA BWANA ABDI NA BI AISHA WALIPOAMUA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA SHEREHE YA KUSHEREKEA ILIFANYIKA HAPO DANKEN HOUSE WAKISINDIKIZWA NA JAHAZI MODERN TAARAB, HAPANA CHEZEYA WENYE PESA ZAO HUKU BI SABAHA MUCHACHO ALIKUWEPO KUTOA RAHA...!!!!

BWANA ABDI NA BEST MAN
AISHA NA MPAMBE WAKE
WAPAMBE
MC-CHENI
MAARUSI WAKIINGIA UKUMBINI
VOGUE NDIO USAFIRI WA AISHA & ABDI
WALIANZA KUINGIA MAIDS
WAKAFUATIA MATRON
MAARUSI AISHA & ABDI WAKIINGIA UKUMBINI
DECOR
CAKE
MAARUSI WAKIKATA KEKI
CHAMPAGNE
NYUSO
CHEZA
CHAKULA
RED CARPET

Post a Comment

7 Comments

 1. Jahazi ndani, maharus wametisha. Bwana harusi ndugu yke na mzee yusuph nn? kama wanafanana. Mungu awajaalie maharus mzikane mana naona umri umesogea.

  ReplyDelete
 2. asante da Hellen hakika harusi ilipendeza saana......

  ReplyDelete
 3. Wow! Bride and Groom.... "AISHA & ABDI WEDDING RECEPTION!!!!" ... Thanks from Mobile Marketing ….

  ReplyDelete
 4. ww mdau wa kwanza umenichekesha etiiii umri umesogea bora hivo ndo watazikana wangeoana wadogo kila mmoja mota lkn hapo kila mtu na hamsini zake

  ReplyDelete
 5. jamani ile sio vogue ni Toyota Landcruiser

  ReplyDelete
 6. hellen tunaomba contact za mpishi plzz

  ReplyDelete
 7. asante mama kwangu kwa maandalizi kabambe ya harusi ya kaka etu mungu akujaalie uondokane na husda za ma X wapangaji wako.

  ReplyDelete