AQDI YA ABDALLAH & MARYAM!!

ABDALLAH & MARYAM NI WAFANYAKAZI, BAADA YA KUONANA NA KUAMUA KUFUNGA NDOA ILI WAWEZE KUISHA PAMOJA KATIKA NJIA ZA KIHALALI ZINAZOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU, SIKU YA ALHAMIS 19/09/2012 WALITHIBITISHA HILO MBELE YA FAMILIA ZAO PAMOJA NA JAMAA, BAADA YA AQDI KUFUNGWA MIKOCHENI NYUMBANI KWA KANALI SENGA, TUKAMCHUKUA MKWE WETU KUELEKEA KWENYE SHEREHE NDOGO  MAMA WA BWANA ARUSI NA WADOGO ZAKE WALITAYARISHA....!!!!
NAMBA YA MCHORAJI NI +255 713 551 208

NAMBA YA MCHORAJI NI +255 713 551 208
 ABDALLAH AKIINGIA......
 MAMA ZAKE ABDALLAH JOHA & FATMA SIMBA WAKIFURAHI
AQDI IKIFNGWA
 ABDALLAH NA BEST MAN GAITAN AZIZ, MTOTO WA MIRIAM AZIZ
 BABA MZAZI WA MARYAM AKIMKABIDHI ABDALLAH BINTI YAKE
 MJOMBA WA ABDALLAH RET, BRIG. SIMBA AKIMPA MKONO WA HONGERA
 SAHIHI YA CHETI CHA NDOA
 ABDALLAH AKIMPA MKEWE MKONO
 DUA
ABDALLAH AKAMVISHA MKEWE WAKE PETE
ABDALLAH & MARYAM

FURAHA YA HARUSI...!!!
QASWIDA
NYUSO
 ABDALLA & MARYAM NA RET. BRIG. SIMBA WAZIRI SIMBA, MJOMBA WA ABDALLA
 ABDALLAH NA BA MKWE
RET BRIG. SIMBA NA MKEWE FARIDA SIMBA
 AMINA MTENGETI, AISHA MASIKA & ROSE EBRAHIM
 MARIAM & SALMA MNTAMBO
 MARIAM MNTAMBO, KHADIJA SHETA & HALIMA KAMUSI
 MAMA KARUME & DA ROSE
 MIRIAM AZIZ & BINTI YAKE BEAUTIFUL MASHALLAH
 ABDALLAH, KARUME, MARIAM & ROSE
 SOPHY & MIRIAM
 BABU NJENJE & MARIAM 
 SALMA MNTAMBO & JOHA SIMBA
 RAHMA MTENGETI, BI HASINA KAWAWA & FRIEND
 FARIDA SIMBA, AISHA MASIKA & ROSE
RED CARPET
TUKIONDOKA HAO NA CHUMA CHETU KUELEKEA UPANGA


Post a Comment

5 Comments

 1. Wamependeza sana maashallah mola awajaalie ndoa yenye baraka......biharusi make up na nguo vimetulia

  ReplyDelete
 2. Mashaallah harusi nzuri kweli kweli. me nimemenda best man. hahaha.

  ReplyDelete
 3. Nakutakia kila la kheri katika maisha yako mapya mdogo wangu kipenzi mwaaah

  ReplyDelete
 4. mashallah hinnaaaaaaaa imeenda shule allah ibarik na shughjuli yote nzuri mungu awape baraka

  ReplyDelete
 5. Mashallaah.Mmependeza.Mola awajaalie kila la kheir.Dada Jokha Simba hongera sana kwa malezi mema..Ni dada wa watu una roho ya peke yako.Mola akuzidishie.Amen.Mie mdogo wako Norway.

  ReplyDelete