ARUSI YA JAMAICAN & TANZANIAN YAFANYIKA NEWYORK JERRYJANE & NATHAN!!!

 WENZETU WANAITA MULTICULTURAL WEDDING, NDOA YA MATAIFA MAWILI TOFAUTI, LEO NINA FURAHA KWANI NI KIJANA WA KITANZANIA ALIYEFANYA ARUSI YAKE NEW YORK LAKINI VIONJO VINGI VYA KITANZANIA KAMA BWANA ARUSI ALIVAA BALL TIE  YA KITENGE NA SWAGA NYINGINE ZA KWETU, NDANI YA PICHA ZA SHEREHE UTAONA KINAMAMA WA KITANZANIA WAKIWATUNZA WAKWE KHANGA, SOTE TWATAMBUA KHANA NA KITENGE NI VAZI LA KWETU NA NDIO ZAWADI INAYOCHUKUA NAFASI KUBWA KWENYE SHEREHE ZA ARUSI HAPA KWETU, PIA KWA JERRYJANE BINTI WA KIJAMAICA PIA ALIKUWA NA VIONJO VYA KWAO, MIMI NAAMINI KABISA UTAMADUNI NDIO UTAMBULISHO WAKO, ARUSI NZURI IMERIPOTIWA NA BLOGS MAARUFU DUNIANI KAMA VILE BELLENAIJA ETC, MDAU WANGU NINGEPENDA UONE PICHA ZAIDI.....!!!!

 JERRYJANE & NATHAN, NILIKUWA NAJIULIZA HIZO BALL TIE NI WAQWETU TANZANIAN ACCESSORIES DESIGNER?? 
BRIDE

PHOTO-CREDIT -PATRONELLA

Post a Comment

14 Comments

 1. the most beautiful wedding i have seen so far,i just love everthing!!!!!!May the Lord grant happiness to these two love birds!

  ReplyDelete
 2. very nice wedding

  ReplyDelete
 3. kwa kweli nice wedding walijipanga vizuri sana si kila kitu kuiga vingine mnabuni tu

  ReplyDelete
 4. wedding balaa....kilakitu on point yaani...hongera zao

  ReplyDelete
 5. I love how they incorporated both culture together from beginning til the end. Bride looked stunning n the groom also. Many happiness to the happy couple. Kaka etu atafaidi jerk chicken n fried plantine

  ReplyDelete
 6. NICE ONEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

  ReplyDelete
 7. me love everything..damn!blessings be upon them!

  ReplyDelete
 8. harusi imependeza sanaaaaa

  ReplyDelete
 9. Speech less it was perfect mmmmmwwwwaaaaa

  ReplyDelete
 10. I aitwe bow tie na sio ball tie, just thought I should point that out. Back to the topic...everything is just fabulous.

  ReplyDelete
 11. I am inlove with this wedding. It is so different and original. These days many weddings to the same and you end up watching the same thing again and again. However these guys have made their mark and done something different. From the party favours, décor to the information boxes on the table. Love love it!!!

  ReplyDelete
 12. maharusi wamependeza sana mapambo ndo usiseme perfect


  ReplyDelete
 13. Si mchezo yani baaaaaaaaaaaaaaaaabu kubwa

  ReplyDelete